Kuna mstari umerukwa hapa , wale wataalam wakusoma
between the line tutakubaliana kuwa Kuna mstari umerukwa hapa [emoji84][emoji84]
1 Iliwezekanaje
family nzima tena wake kwa waume yaani
Baba Mama mjomba ,majirani hadi mzee wa ukoo wamuache
mgonjwa teeena binti wa kike
kwa mchungaji teena mchungaji wa kiume peeke yake [emoji84][emoji84]
Inatuingia akilini hii?
anyway , ngoja niwasogeze kidogo .
Kwa wasiyofika wala kujua misingi ya Imani ya wa
Rombo
99.9% ya Wa
Rombo ni
wakatoliki kindakindaki tuzingatie hilo ,kiasili wakatoliki huwa hawawaamini wala kuwabali kabisa
wazee wa shika neno tenda neno [emoji84][emoji84]
Swali la kuanzia ilizezekanaje jamii nzima niliyoieleza hapo juu ikawa na utayari wakumwaamini mtu imani nyingine kwa viwango hivyo?
Hebu tuweke nukta
Kwa mujibu wa mwandishi wa hiyo habari nikama anaonyesha anachuki na mchungaji ,
vinginevyo atusaidie kujua alijuaje kuwa tendo hilo lilifanywa nyakati mgonjwa akiwa amepoteza fahamu na siyo kabla hajafika kwa mchungaji?
Alimkagua kabla?
Taarifa yake ni kwa mujibu wa daktari? Ikiwa hapana ,na inaelezwa kuwa hakukuwepo na mtu zaidi ya mgonjwa na Baba mchungaji , yeye alijuaje?
Hii ni dhana hasi ya kutaka kutuchafulia viongozi wetu wakiimani ,, ifahamike kuwa makanisa yakiuamsho Rombo yanapigwa vita sana ,
Siku hizi dini ni biashara , na zina mbinu zote zakiushindani kama wafanyianazo washindani wakibiashara wengine .
neno langu ,wakuu tujihari, tusije tukajikuta tunajiingiza kwenye ugomvi usiyo tuhusu .
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app