Mchungaji alibanwa na Kiu aka amua kujitibia.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Wanadamu tuna vita na yeyeeee shetani
Wanadamu tuna vita na yee muovu shetani
Wanadamu tuna vita na yeee huyu shetani
Huyo huyo huyo huyo huyo huyoooo yaani muovu shetaniiiii
Eeeeeeeeghy!!!
Yeyeye yeye mwizi huzuni Baba
Yeyeye yeye mwizi huzuni Mama
Yeyeye yeye mwizi huzuni Kaka
Yeyeye yeye mwizi huzuni Dada weewe
Aaaaaiba watu wa MUNGU wanamfuata
AaaaUa watu wa MUNGU bila kujari
Aaaaaiba watu wa MUNGU wanamfuata
AaaaUa watu wa MUNGU bila kujari
Na Adamu alidanganywa kula Matunda
Na Eva alidanganywa kula Matunda
Na Adamu alidanganywa kula Matuundaa
Eva alidanganywa kula Matunda
Wanadamu tukatengwa na yee mwenyezi
Tukatengwa na yee
MUNGU-mwenyezi
Wanadamu tukatengwa na yeee mwenyezi
Yeyeyeeee
MUNGU-mwenyezi
Ndipo tukalaniwa huzuni Baba
Ndipo tukalaniwa huzuni Mama
Ndipo tukalaniwa huzuni Kaka
Ndipo tukalaniwa huzuni Dada wee
Na Aaaaaiba watu wa MUNGU wanamfuata
AaaaaUa watu wa MUNGU bila kujari
Aaaaaiba watu wa MUNGU wanamfuata
Aaaaaah Ua Aaaha bila kujari
Na Adamu alidanganywa kula Matunda
Eva alidanganywa kula Matunda
Na Adamu alidanganywa kula Matuuundaa
Eva alidanganywa kula Matunda
Ndugu yangu Njoo kwa
YESU uokolewe
Ndugu yangu Njoo kwa
YESU
Njoo uokolewe
Ndugu yangu Njoo kwa
YESU uokolewe
Wewe weweee Njoo Uokolewe
Ipo siku utaachwa sisi tutaondoka
Ipo siku utaachwa sisi tutaondoka
Ipo siku utaachwa sisi tutaondoka
Wewe weweee we tutaondoka
Naa fasi tena bado ipo inakusubiri
Nafasi tena bado ipo inakusubiri
Naa fasi tena bado ipo inakusubiri
Wewe weweeee inakusubiri
Uuuuh Mhh Mhh Mhh
Uuuuh Mhh Mhh Mhh
Uuuuh Mhh Mhh Mhh
Uuuuh Mhh Mhh Mhh
Na Adamu alidanganywa kula Matunda
Na Eva alidanganywa kula Matunda
Na Adamu alidanganywa kula Matuuundaa
Eva alidanganywa kula Matunda
Uuuuh Mhh Mhh Mhh
Uuuuh Mhh Mhh Mhh
Credits:
Elisha Tanu - Matunda