Romans did not have degrees but they built lasting roads compared to our engineers

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,424
1602790142688.png
 
Yaani mnacompare durability ya barabara iliyokuwa inabeba farasi na punda na matera yao na barabara inayobeba magari tan 50+ ,sio fair bana yaani hizo barabara za warumi kwa technolojia yake zikijengwa wakat huu hazimalizi week zishafail
🤣🤣
 
Akachube road, Kijitontama ilikufa ndani ya mwezi mmoja baada ya kufunguliwa na haipitishi magari makubwa.
Barabara ya kutoka Lion hadi Sinza Morning iliharibika hata kabla haijakabidhiwa, je unataka comparison gani zaidi?
 
Back
Top Bottom