Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Ubarikiwe sana mkuu... Waafrika tuna shida sana mahala fualani. Ni Mungu atusaidie tubadilike
Nimekua msomaji wa makala zako muda mrefu sana. Nikupongeze sana jamaa. Kuandika sio kazi rahisi hata kidogo. Kutafiti ni kazi kubwa kuliko kulima. Na ugumu zaidi, kueleza jambo likawa na taarifa zaidi kuliko mtu anavyoweza kuzipata katika dunia hii iliyojaa utandawazi. Kwenye jamii za wenzetu ungekua bilionea mkubwa, bahati mbaya jamii zetu zetu hizi ambazo hata kutoa ef 5 kwa mwezi mtu anaona ni kama anaibiwa, basi tunashukuru utaacha kumbukumbu ya maandishi haya, hata wajukuu zako watanufaika na maumivu ya kuacha usingizi na kukodoa macho kwenye makaratasi. KUDOS BRO.
 
Please kaka habib naomba uni tag ujawahi kunitag hata mara moja though najitahidi kukuomba , kazi nzuri sana .. nimesha tega alarm kabisa saa 2 kamili
 
Alijigamba kuwa anajua mambo sana ya usalama hapa EAC kikubwa anajipigia chapuo. Yeye alitakiwa kutoa afu sie wenyewe ndo tujaji jamaa anajua ama hajui.
Sema anabangaiza ya unga watoto waende chooni.
Huwa Niko sensitive sana na kauli za kunitoa Hela.yaani utakuja na lugha tamu ila mwishoni najua kuwa lengo lako mie nitoe Hela mfukoni nikupe.
Nishawahi kusema huyu ni kifaduro, hana lolote analojua story za usalama za vijiweni ndio anakuja kujitutumua humu ndani kwamba amebobea katika masuala ya intelligence, watu tunamuangalia na kubaki kucheka tu.

Njaa inamsumbua, fanyeni kumchangia hiyo elfu5, Akate kiu yake.
 
Hahahahaha pole endelea tu kulipia elfu tano tano mkuu nakumbuka niliwahi kuwepo kwenye group lake kama sio mwaka jana basi mwaka juzi hayo.na mie yalinikuta mpk nikajuta ratiba anaweka mwenyewe halafu anaivuruga ila ikifika mwisho wa mwezi ukifika anaibuka kusisitiza kulipia nilitoka nduki
Njaa mbaya sana Mkuu..
 
Nina mwaka wa nne naandika hapa JF na kila makala its a nuclear bomb (inagusa watu).
Hakuna tusi ambalo sijatukanwa... so hakuna jipya mkuu labda wabuni tusi jipya... kama asemavyo Mhe. Joseph Haule.. "kipi sijasikia?"
Hata kama wanakushutumu, kuwa unacopy kutok google, ukweli kwamba you are talented. Upangiliwaji wa stori upo makini sana na umeenda ndani sana. AsanteTHE BOLD
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom