Free-will
Member
- Aug 8, 2018
- 15
- 46
Naam oligarch, bila shaka. Inakuja
Tutendee haki Oligarch
Naam oligarch, bila shaka. Inakuja
Nikawa najiuliza tangulini mswahili akawa na utaratibu wa kuzingu JF wanatoa HABARI kwa bure kwa kushirikiana na wanachama wake Sasa hii taratibu ya mtu kujifanya mwema anajali wengine atatoa habar bure Mara kabanwa Mara Kule wasap story ilishaisha huku Mara jf hawataki niweke matangazo ya kuuza story.
Sasa Kama haujiuzi kiuandishi kwann haumaliz stori zako? Mbona unakomalia mchango?
Hapa n jukwaa huru unaweza post au usipost haulazimishwi ila hz Mambo za itaendelea mnasumbua watu akilizao.
Hili n jukwaa huru mzee hzo Mambo za wasap uache njoo na uz unauza Hadith utapata wateja
Mkuu ,wewe Lipa tu hiyo Pesa kidogo ukasome huko na sio kutoa Povu hapa.Na wewe haulazimishwi kusoma hapa ,sio lazima usome na kuchangia.
Jitahidi upate walau Busara ya kuwa na Subira. 😡😡
russian hacker tupo hapa ,,,kwani unataka kugundua nini?Huu uzi kwa nn haufunguki ?
Muache asepe hizi story zake huwa ziko wazi kabisa mitandaoni sema anajua kizipangilia vizuri kwa lugha ya kiswahili hivyo hata wale wazee wa fonti-fedi wanaweza kumuelewaThe bold kawakimbia kama kawaida yake tuliopo kule group raha sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tupe ya kwako mkuu.Huyu jamaa hana lolote kazi kuchukua documentary za watu na kuziunganisha kibubusa na kuleta hapa,,hana connection yoyote yenye kumpa details kamili zaidi ya kuiga toka kwenye documentary za watu..
Huyu jamaa hana lolote kazi kuchukua documentary za watu na kuziunganisha kibubusa na kuleta hapa,,hana connection yoyote yenye kumpa details kamili zaidi ya kuiga toka kwenye documentary za watu..
We mpaka sasa ushaziunga ngapHuyu jamaa hana lolote kazi kuchukua documentary za watu na kuziunganisha kibubusa na kuleta hapa,,hana connection yoyote yenye kumpa details kamili zaidi ya kuiga toka kwenye documentary za watu..
Subiri hapo hapo inakufikia...Tupe ya kwako mkuu.