Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Alijigamba kuwa anajua mambo sana ya usalama hapa EAC kikubwa anajipigia chapuo. Yeye alitakiwa kutoa afu sie wenyewe ndo tujaji jamaa anajua ama hajui.
Sema anabangaiza ya unga watoto waende chooni.
Huwa Niko sensitive sana na kauli za kunitoa Hela.yaani utakuja na lugha tamu ila mwishoni najua kuwa lengo lako mie nitoe Hela mfukoni nikupe.
Pole sana kifupi hii story ndio imeshaishia hapa jaribu kitu kingine cha kufatilia humu JF vinginevyo labda ulipie ile elfu tano ambayo ndio target ya muandishi
 
Mnaomdai dai ndio mnampa kichwa

Aweke asiweke mbona poa tu
 
Huyu jamaa nae kazidi..story zake zote huwa haziishi
Sijui ndio kutaka watu wakajiunge wasap? Kama huwezi maliza bora usizilete kabisa unazingua
 
Awe anatunga mwenyewe awe anacopy na kupaste, awe anapata kutoka chanzo chochote story zake zinabamba sana sana na, zinavuta hisia za maelfu ya wasomaji nikiwemo mimi.
Ukiona anakuboa usimfuatilie uchune hamna haja ya kuumiza vidole vyako kutype hapa kwa ajili ya kumponda mtu.
 
Habibu B. Anga sikuelewi kabisa. Hata kwenye group Watsapp unapost stori kwa maringo sana jomba. Kama umeamua kufanya jambo fanya bila kuingiza ujanja ujanja. Una kipaji lakini unajiharibia kuingiza uswahili uswahili usio na maana.
 
Hajui sisi ndio wateja wa baadae wa vitabu vyake
 
Habibu B. Anga sikuelewi kabisa. Hata kwenye group Watsapp unapost stori kwa maringo sana jomba. Kama umeamua kufanya jambo fanya bila kuingiza ujanja ujanja. Una kipaji lakini unajiharibia kuingiza uswahili uswahili usio na maana.
Hahahahaha pole endelea tu kulipia elfu tano tano mkuu nakumbuka niliwahi kuwepo kwenye group lake kama sio mwaka jana basi mwaka juzi hayo.na mie yalinikuta mpk nikajuta ratiba anaweka mwenyewe halafu anaivuruga ila ikifika mwisho wa mwezi ukifika anaibuka kusisitiza kulipia nilitoka nduki
 
Ni ujinga mtupu jamaa anafanya. Ni utapeli usiokuwa rasmi sana. Na hili kwa sasa ni janga la kitaifa. Watu wenye vipaji wanatumbukia kwenye dimbwi la dhuluma na utapeli hivyo kujichafulia hadhi zao. Kama huyu Habib angekuwa mtu makini angetengeneza pesa nyingi kirahisi ila kwa sababu ya kujifanya kujua kila kitu ndo anafanya upuuzi.
Hahahahaha pole endelea tu kulipia elfu tano tano mkuu nakumbuka niliwahi kuwepo kwenye group lake kama sio mwaka jana basi mwaka juzi hayo.na mie yalinikuta mpk nikajuta ratiba anaweka mwenyewe halafu anaivuruga ila ikifika mwisho wa mwezi ukifika anaibuka kusisitiza kulipia nilitoka nduki
 
Hahahahaha pole endelea tu kulipia elfu tano tano mkuu nakumbuka niliwahi kuwepo kwenye group lake kama sio mwaka jana basi mwaka juzi hayo.na mie yalinikuta mpk nikajuta ratiba anaweka mwenyewe halafu anaivuruga ila ikifika mwisho wa mwezi ukifika anaibuka kusisitiza kulipia nilitoka nduki
Kama unayosema ni ya kweli...Huu sasa utakuwa utapeli...why awalipishe watu bila kuwapa huduma...ni bora aandike story zake mpaka mwisho then aziuze kama vitabu hardcopy
 
Awe anatunga mwenyewe awe anacopy na kupaste, awe anapata kutoka chanzo chochote story zake zinabamba sana sana na, zinavuta hisia za maelfu ya wasomaji nikiwemo mimi.
Ukiona anakuboa usimfuatilie uchune hamna haja ya kuumiza vidole vyako kutype hapa kwa ajili ya kumponda mtu.

"...ukiona anakubia usimfuatilie uchune hamna haja ya kuumiza vidole vyako kutype hapa kwa ajili ya kumponda mtu.."

- laii, Septmber 2019
 
Back
Top Bottom