Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Aisee ninajufunza na kuhamasika sana na hizi makala. Muajiri anisamehe kumuibia muda na rasilimali zake..... Sehemu ya 08 kama imeishia njiani hivi
 
Binafsi nikupongeze mkuu, simulizi zako hua zinanifanya nibrainstorm vitu vingi, siwezi hoji jinsi unavyopata access ya such 'sensitive information' maana hilo halinihusu kikubwa naomba usiwe unatoweka kiivyo kama babu wa loliondo, madini yako yanahitajika sana humu jukwaa la intelejensia sio mtu analeta simulizi za hawafu mwenye nguvu. By the way ungetuangushia link ya whatpp grupu lako ili kujiunga iwe just one click away
link unadhani inatolewa bure acha kupenda mteremko ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
atakus hizi.story anasimuliwa na mzee wa mia90 itapendeza maana masaa anapost ndio mze wa 900 yupo kwa.mama muuza gongo
 
utachakaa sana Huyu ndio The Bold hii stori ataleta baada ya mwezi akiwa anatoa toa zote tunawajua wabongo mtamchoka mapema sana halafu mtakuja kumwona mpuuzi bora aendelee hivi hivi maana wabongo mkishajua kitu mnaleta dharau sasa The bold anawakomesha taratibu mpaka mkae sawa anajua kucheza na Mindset zenyu vizuri sana TUKOMESHE BABA
Kutukomesha? what for?
 
mi nadhani lengo la kasasi kama hizi ni kupatikana ibra ndani yake ni kuamsha hisia na kujua kumbe unaweza ukafanya haya na yale kama utakuwa tu na upeo wa kufikiri. Badala ya kumhimiza mleta uzi aendelee na sehemu ingine kwanza jitafakari wewe umepata nini kipya ambacho kitakusaidia kwenye Maisha yako?
 
Kilama, heshima yako mkuu...

Oligarch nilisema hapo mwanzo mkiona niko kimya mjue nimebanwa na majukumu.
Siwezi kukimbia story yangu mwenyewe. Nitaweka Episode ya tisa ikiwezekana leo usiku.

Kumradhi na tuwe tuna sameheana bure. Kuna muda majukumu yanakuwa mengi hata simu huwezi shika. Kwa mfano ndani ya wiki moha oliyopita leo ndio kwa mara ya kwanza nalogin JF.

Anyaways, tukutane leo usiku...
Pamoja na kwamba wapo baadhi ya wachangiaji wanaokatisha tamaa katika replies zao, lakini huku pia ni kujishushia heshima kuanzisha simulizi then unapotea mazima, si uungwana hata kidogo labda kama unafanya makusudi ili watu waifuate hiyo namba unayoiweka mwishoni kwa simulizi na yenyewe kiutuuzima si sahihi.
 
Oligarch, wewe ndio sawa na mfano wa hadithi chura tuliyokuwa tunaambiwa utotoni... kabla maelezo hayajamaliza kutokewa anadakia. Mwishowe kaingia kwenye karai la mafuta ya moto ako na mapere mpaka leo.

Naamini unaongelea Abramovich kuwa Governor wa Chukokta.
Ndio kwanza tuko sehemu ya nane, ngoma bado mbichi kabisa. Nitaongelea huko mbeleni.
Nikukumbushe tu kipindi anaipata Sibneft hakuwa na cheo chochote kisiasa.

Huu mtori Oligarch... nyama ziko chini. Relax..
Alafu kuna walakini kwenye baadhi ya maelezo, kwa mfano kuhusu ununuzi wa Sibneft, sio kweli kwamba Berezovsky alitoa pesa zooote bila Abrahimovic kuweka chochote achilia mbali kwamba serikali ya russia iliweka utaratibu wa kuwakopesha wanunuzi wa makampuni yake.

Sio sahihi sana kuelezea kwamba hata kama hakupewa madaraka ya kisiasa na Boris, Bado Abrahimovic alikuwa na interest za kisiasa na amewahi kuwa Governor wa jimbo moja nchini humo mwanzoni mwa miaka ya 2000.

sasa kuacha hii kunaweza sababisha watu kudhani unaweza kuwa bilionea huku umejiweka mbali na siasa,wakati mwingine unahitaji locus ya kisiasa ili ujisafishe
 
Unataka nikupe info alafu nikwambie ukaitafute huko internet kama utaipata.??

Sema suuuuu nikuoe moja tu ya mfano. Nijibu tu nikuonyeshe mfano.

(Ila tukubaliane, nikikupa hiyo info na ukashindwa kuipata huko kwenye internent, tukubaliane kwamba ukishindwa kuipata kuanzia sasa utakuwa ukiniamkia kila tunapoonana kwenye nyuzi)
Mimi Binafsi nimemshangaa bwana Hanga kuanza kuelezea namna alivyo na access na sources of intelligence hapa east africa.

Nilidhani makala zake zinatosha kutufanya tuamini access aliyonayo kwa mambo hayo, ama sivyo hana sasa anataka kuwablind watu wasitumie access ya taarifa kama hizi zinazopatikana kwenye internet bwerere kujipatia kipato kama afanyavyo yeye.
 
Oligarch, mbona una papara kama waoga barazani... teh



Makala ndio kwanza iko sehemu ya nane. Relax.
Okay, tatizo hakuna sehemu imeonyesha kwamba Mr. A alitumia Risasi au kumwaga damu ili kufikia ukwasi aliokuwa nao kama kichwa cha habari kilivyelenga kuelezea.

Kwa hiyo story haijakamilika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom