Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Tahadhari: Tafadhali ugopa kiwa mteja wa stori za The Bold

Waswahili huwa tuna fail hapo tu ( integrity ) hakuna.. unapo ahidi jamii jambo flani kwa mda flani hata kama ni lako ni lazima ufanye kama ukishindwa toa taarifa. Ila mswahili kwake kawaida sana kuahirisha jambo
 
Ushauri kwa mleta story unatakiwa kulisaidia taifa lako hasa kuwajenga kupenda kusoma ili wawe na maarifa Zaid kusud kizazi chako kisijekupata tabu huko mbele kwajinsi dunia inavyokwenda.

Hii story unayondefu tuu lakin kwamakusud baada ya kuona unabembelezwa sana Basi nawe unajidai kuringa hakuna cha muda Wala nn ila unacreate attention kwa watu watu washakujua wewe n Nani na shughuli za hadithi Kama hz n Moja ya shughuli zako na humu jf n maarufu kwa Hilo watu washakwambia Kama n pesa waambie wakutumie naona ukaja juu Kama hutak pesa Sasa ile namba yasimu unaweka Yann?

Watu wanasema huko insta Mara wasp ipo mbele Sasa huku jf maarifa kugawana n bure pili ukileta hapa ikiwa full n rahis nawewe kuongeza tuvitu fulan sababu tunaishi kujifunza kilasiku

Hii story ipo Google Sana tuu unadham watu hawajaitafuta washaitafuta na wengine hata hawakujisumbua sababu wanajua ile lugha ile n shida ndo Mana nitag nnying mno toka unaandika ile siku ya kwanza mpakaleo nitag nitag

Copy lote paste hapa

Naheshimu muda wako uliojipa ukatafsir hi kitu inasaidia kuwapa chakula ya ubongo watanzania waanze kufikiri Sasa dunia ilivyo nasio kulaumulaumu tuu watu.

Hongera kwa kazi ya vidole vyako
 
Ma-oligarch wenzangu,

Mniwie radhi leo sijaweka sehemu ya 8 kama ambavyo nilisema nitafanya.
Mniwie radhi sana sana sana... sio kwamba nafanaya kusudi ili kuwatega hapana, kuna muda kama watu wengine wote nakuwa nabanwa na majukumu mengine... imagine sasa hivi ndio napata wasaa kuingia humu nakupitia comment.
Asubuhi na mapema nitaweka sehemu ya nane.

Kumradhi sana oligarchs. Kesho asubuhi kabla ya saa tano sehemy ya nane itakuwa hapa.

The Bold
 
Ushauri kwa mleta story unatakiwa kulisaidia taifa lako hasa kuwajenga kupenda kusoma ili wawe na maarifa Zaid kusud kizazi chako kisijekupata tabu huko mbele kwajinsi dunia inavyokwenda.

Hii story unayondefu tuu lakin kwamakusud baada ya kuona unabembelezwa sana Basi nawe unajidai kuringa hakuna cha muda Wala nn ila unacreate attention kwa watu watu washakujua wewe n Nani na shughuli za hadithi Kama hz n Moja ya shughuli zako na humu jf n maarufu kwa Hilo watu washakwambia Kama n pesa waambie wakutumie naona ukaja juu Kama hutak pesa Sasa ile namba yasimu unaweka Yann?

Watu wanasema huko insta Mara wasp ipo mbele Sasa huku jf maarifa kugawana n bure pili ukileta hapa ikiwa full n rahis nawewe kuongeza tuvitu fulan sababu tunaishi kujifunza kilasiku

Hii story ipo Google Sana tuu unadham watu hawajaitafuta washaitafuta na wengine hata hawakujisumbua sababu wanajua ile lugha ile n shida ndo Mana nitag nnying mno toka unaandika ile siku ya kwanza mpakaleo nitag nitag

Copy lote paste hapa

Naheshimu muda wako uliojipa ukatafsir hi kitu inasaidia kuwapa chakula ya ubongo watanzania waanze kufikiri Sasa dunia ilivyo nasio kulaumulaumu tuu watu.

Hongera kwa kazi ya vidole vyako
Kama ipo kwenye mitandao sijui Google unakuja kulia lia nin hapa Balance shobo kila mtu ashinde mechi zake 😀😀😀😀😀
 
Yani kuna watu unawatafakari unaishia kuwaonea huruma tu..
Tuwasamehe bure maana kukosa kwao hekima ni janga kubwa sana
We jamaa unanikumbusha enzi za shule, kuna mshkaji wetu alikuwa na mambo kama yako. Mwalimu akianza kufundisha somo jipya anajifanya "Hiyo naijua, nimeisoma jana mchikidown"
Kumbe mburula, zumbukuku ulimwengu uko huku.
Sasa kama unajua namna ya kuzipata wewe ulishindwa nini kuandika makala zako au ni nini kilikufanya ukaja huku hima hima?
Kukaa kimya muda mwingine hakukufanyi uonekane mjinga broo.
 
Loud and clear chief...

Siku moja nitazungumza kuhusu uhusiano wa Epstein na idara za Ujasusi duniani... yule jamaa alikuwa na connection kubwa mno mno.
Mkuu Bold, usiache kutupa dodoso kwa nini Abarmovich amechukua uraia wa Israel, Itapendeza kama utagusia iwapo Israel ndiyo inayoongoza Kinyemela Marekani na Urusi kwa wakati mmoja!.

Je Abramovich alikuwa ni recruitted Mossad agent aliyekuwa akipewa mbinu toka alipoanza mpaka mwishoni na Mossad?

Je zile Video za Ngono ambazo Abramovich alizitumia kummaliza yule aliyetaka kumchunguza hakuzipata kwa Mossad ambayo inasemwa kuendesha michezo ya kuwavuta viongozi influential katika starehe mbalimbali kama vile ngono dhidi ya watoto, au ushoga na kisha kuwarekodi na kisha kuwablackmail viongozi hawa pindi wakienda against maslahi yao?

Nimesikia yule Epstein aliyekuwa akijihusisha na ring ya ngono kwa watoto wadogo inasemekana alikuwa ni Mossad agent na kazi yake ni kuwavuta watu influential katika mambo hayo kisha kuwarekodi kwa siri lakini baadae kuwablackmail ili wasiende kinyume na maslahi ya Israel!.
Na sasa wanasema amejinyonga Jela, lakini wengine wanandai amededishwa ili asije akamwaga siri au mambo yasije yakaenda yasivyotazamiwa?!

Unaweza kugusiagusia hili suala
 
Mkuu angalia sana, maana huko aliyemuweka madarakani Putin ni Boris Berezovsky hapa kwenye stori yetu ni Roman Abrahamovik
True That kuna connections flani, by the way hapa kwa vile anazungumzia IBRABRA so ni kama anavutia upande wake
 
Oligarch, next time ukitaka kuongea na mimi jambo usitumie lugha chafu au lugha kali... nakuheshimu mno. Tusijisahu kwa kuwa tumejificha nyuma ya keyboard...

Labda kama ulikuwa hujui... siruhusiwi na Jamii Forums kuweka haya maelezo unayopendekeza. Niliwahi kufanya hivyo tukaingia kwenye mgogoro mkubwa sana na JF na nisingependa tuvurugane tena. Wale wakongwe wanaonifuatilia tangu enzi hizo nadhani wanakumbuka.

Next time tumia lugha nadhifu maana sie wote ni watu wazima na mbaya zaidi hatujuani... tujiheshimu.
Mkuu, maboya mengine usiwe unapoteza muda wako kuyajibu, fanya kama hujasoma tu. Yaani mtu unampa madini BURE bado analalamika, kama vipi angekutafuta inbox huko ili apate may be hata na mengine asio yajua but wewe unayajua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom