Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Mkuu Bold, usiache kutupa dodoso kwa nini Abarmovich amechukua uraia wa Israel, Itapendeza kama utagusia iwapo Israel ndiyo inayoongoza Kinyemela Marekani na Urusi kwa wakati mmoja!.

Je Abramovich alikuwa ni recruitted Mossad agent aliyekuwa akipewa mbinu toka alipoanza mpaka mwishoni na Mossad?

Je zile Video za Ngono ambazo Abramovich alizitumia kummaliza yule aliyetaka kumchunguza hakuzipata kwa Mossad ambayo inasemwa kuendesha michezo ya kuwavuta viongozi influential katika starehe mbalimbali kama vile ngono dhidi ya watoto, au ushoga na kisha kuwarekodi na kisha kuwablackmail viongozi hawa pindi wakienda against maslahi yao?

Nimesikia yule Epstein aliyekuwa akijihusisha na ring ya ngono kwa watoto wadogo inasemekana alikuwa ni Mossad agent na kazi yake ni kuwavuta watu influential katika mambo hayo kisha kuwarekodi kwa siri lakini baadae kuwablackmail ili wasiende kinyume na maslahi ya Israel!.
Na sasa wanasema amejinyonga Jela, lakini wengine wanandai amededishwa ili asije akamwaga siri au mambo yasije yakaenda yasivyotazamiwa?!

Unaweza kugusiagusia hili suala
 
Kitabu kwa story zipi.....hizi story mbona zipo internet ila huyu jamaa anafanya kutafsiri tu...
We jamaa unanikumbusha enzi za shule, kuna mshkaji wetu alikuwa na mambo kama yako. Mwalimu akianza kufundisha somo jipya anajifanya "Hiyo naijua, nimeisoma jana mchikidown"
Kumbe mburula, zumbukuku ulimwengu uko huku.
Sasa kama unajua namna ya kuzipata wewe ulishindwa nini kuandika makala zako au ni nini kilikufanya ukaja huku hima hima?
Kukaa kimya muda mwingine hakukufanyi uonekane mjinga broo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom