Rokoo 2013!!!!!!

Rokoo 2013!!!!!!

2012 dah! ila hizi nyuz zilikuwa nyingi sana kiasi kwamba nilishindwa kujua niingie wap kama mtu hakunimention lol!
 
Mna vituko sana...mwaka umewakuta jf basi mambo yenu mwaka mzima yatakuwa kijeiefu
 
Mwaka jana 2012 na mwaka huu 2013!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
2012 dah! ila hizi nyuz zilikuwa nyingi sana kiasi kwamba nilishindwa kujua niingie wap kama mtu hakunimention lol!

Ndo ushachelewa sasa dada mkubwa.... Inakupasa uitike 2013 pekee!!!!!!!!!!!!
 
Mwaka jana na mwaka huu na mwaka kesho na kesho kutwa na mwaka mtondogoo na hadi .......2100
 
happyyyyyyyyy neeewwwwwww yearrrrrrrrrrr

umenikumbusha mbali... zamani kijijini tulikuwa tunachoma mahindi kwenye mkesha wa mwaka mpya
 
Back
Top Bottom