Rokoo 2013!!!!!!

Rokoo 2013!!!!!!

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
happy-new-year-20131.jpg



happy-new-year-2013-setsiri-silapasuwanchai.jpg


Wadau wote wa CC........

Naitisha rokoo hapa, ambaye kafungua mwaka 2013 akiwa majicho.... Nikimaanisha watakaoitika kuanzia saiv mpaka saa 12 asubuhi aitike kama ifuatavyo:-

2012 na 2013

Na watakao itika baada ya saa 12 asubuhi waitike

2012

Fanyeni hivi kwa kunikumbuka mimi!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mimi nipo macho natafuta wa kucheza nae kombolela
 
jana na leo, oops, mwaka jana na mwaka huu
 
mimi nipo macho natafuta wa kucheza nae kombolela

Mkuu ushafeli... Hufai kuingia kwenye mfumo ya digitali...

We yako analojia tu.... Tuwache sie wa kidigitali tusongeshe hahahaaaaa!!!!!!!
 
2012/2013/2014/2015/2016/2017/2018.........................2090


Hapotei mtu!
Mtaniacha kwa hizi projection
 
Back
Top Bottom