Hahahahahaha dahAliyefoji cheti![]()
[emoji106]Kwa hiyo mnataka alie mpaka augue vidonda vya tumbo pamoja na maradhi mengine.
Kwani akilia sana mama yake atafufuka?
Acheni unafiki yaani mnataka kumpangia mtu kulia kiasi fulani ili awaridhishe. Shenzii.
[emoji106]Mkuu japokuwa ni mtanganyila lkn watanganyika wenzangu wamezidi ukuda mpaka inakera,
sijaona shida yeyote kwa huyo dada,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliyefoji cheti![]()
Cheti sio IDKuna mwenyewe hajafoji id humu JF na kama wapo basi ni wachache ambao hawajafoji id
Kuna mwenyewe hajafoji id humu JF na kama wapo basi ni wachache ambao hawajafoji id
Mkuu japokuwa ni mtanganyila lkn watanganyika wenzangu wamezidi ukuda mpaka inakera,
sijaona shida yeyote kwa huyo dada,
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda, lkn watu tuko tofauti,Si ajabu madaktari walimwambia kwamba mama yake anafariki kwa hiyo akawa amelia sana kabla hajafariki, pia inawezekana analia pembeni na hapendi picha zake za kulia kufuatia msiba wa mama yake zibandikwe kila kona.