Roho ya paka

Roho ya paka

stargirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2017
Posts
462
Reaction score
541
Screenshot_2017-07-21-17-37-31-1.png
 
Roho ya paka haswaa..!!hata kama ni uzungu huyu kazidi..
 
Kwa hiyo mnataka alie mpaka augue vidonda vya tumbo pamoja na maradhi mengine.
Kwani akilia sana mama yake atafufuka?
Acheni unafiki yaani mnataka kumpangia mtu kulia kiasi fulani ili awaridhishe. Shenzii.
 
Si vyema kujishughulisha na vitu visivyokupa faida au raha.

"Binadamu hatufanani kama alama za vidole"
 
Watu wanashindwa kuelewa tumeumbwa tofauti.
Kuna binadamu hata awe na huzuni kiasi gani hauwezi kumgundua wala tone la chozi halitatoka hata moja hata ajilazimishe kiasi gani.
Mkuu japokuwa ni mtanganyila lkn watanganyika wenzangu wamezidi ukuda mpaka inakera,

sijaona shida yeyote kwa huyo dada,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom