Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,126
Nayo sio mbayaMdogo wangu kamaliza chuo 2015 kahangaika na ajira hadi kaamua tu aokoke
Nayo sio mbayaMdogo wangu kamaliza chuo 2015 kahangaika na ajira hadi kaamua tu aokoke
Hujataka tu zile za kuchezea watoto zipo nyingi sana, tatizo lako unataka lamboghini
Tunasoma kupata maarifa sio kupata hela,,kuna wanyantuzu standard four failure,wametusua kuzidi maprofesaHuu uzi uko kimasihara flani hivi ila una facts za ukweli kabisa. Msela umehoji kitu cha maana sana. Mm binafsi niko na wife na my kids ila najiona nimesoma bure kwa kuwa kusoma kwangu hakukunipa deals za kuingiza fedha, hadi hivi ninavyoandika comment hii hali sio kama nilivyoifikiria awali na nimenasaa sijui wapi nitatokea.
Ila mara zote vijana tukisema tunavyojiskia kuna mtu atakwambia ww ni mvuvu, ww hivi ww vile mbona fulani yuko hivi ana hiki na kile na muka sawa kiumri umesima nae hadi chuo.
HALI SI SHWARI ELIMU TULIZOPEWA HAZIKIDHI HAJA YA MAPAMBANO MTAANI.
Haya majungu sasaPole Sana
Hbd
Nayo ajira tu, anahitaji msaidizi mzuri kama Gwajima ili aanze kuona matunda yake
Ukiokoka na upo idara ya sadaka ni zaidi ya ajira, ila Ukiokoka kupiga vigelegele wewe ni fala.Kumbe kuokoka ni ajira?
Yes mkuu, kuna watu wako serious na maisha hadi wanasahau kuishi, ni vyema tukabadili mind set zetu na kujua kwamba maisha ni haya tunayoishi na kwamba hatuelei angani kwa ajili ya kuandaa so called maisha...simple, kama bado unasubiri mume/mke bora atoke sayari nyingine subiri ila usimnange mwenzio ambaye naye anaishi na shilole wake ki uchebe uchebe wakati huo huo akimsubiri ajaye! Penda, gombana kidogo ,kopa kidogo,fitini inapobidi, chepuka kiasi, sali kiasi, siasa kidogo,jiweke classic kiasi, kuwa mkaidi, shabikia chochote ilimradi tu birthday zinasoma...baaaaasi!Haahaahaa mkuu umenifurahisha sana
" Maisha yakikuletea mapozi piga chini" huu msemo nimeukariri
Amen Man Of GodAmen na mm Jana nimetimiza 22 ila sina gar mkuu
Hahahaha watu bhanaPambana CCM itoke madarakani, hao ndio wachawi wa maendeleo yako na kuyumbishwa kwa ndoto zako kijana.
Na huko ndio kapotea zaidiMdogo wangu kamaliza chuo 2015 kahangaika na ajira hadi kaamua tu aokoke
Kutokana na uzoefu wa maisha uliyopitia wewe binafsi,ni dhahir sasa MUDA WA KUJIRIPUA( TAKE RISK AMBAYO HUJAWAH KUICHUKUA ILA USIUE WALA KUIBA)....
Kutokana na uzoefu wa maisha uliyopitia wewe binafsi,ni dhahir sasa MUDA WA KUJIRIPUA( TAKE RISK AMBAYO HUJAWAH KUICHUKUA ILA USIUE WALA KUIBA)....