Roho inaniuma: Nimetimiza miaka 35 sina maendeleo yoyote ya kujivunia niliyoweza kuyafanya

Huu uzi uko kimasihara flani hivi ila una facts za ukweli kabisa. Msela umehoji kitu cha maana sana. Mm binafsi niko na wife na my kids ila najiona nimesoma bure kwa kuwa kusoma kwangu hakukunipa deals za kuingiza fedha, hadi hivi ninavyoandika comment hii hali sio kama nilivyoifikiria awali na nimenasaa sijui wapi nitatokea.

Ila mara zote vijana tukisema tunavyojiskia kuna mtu atakwambia ww ni mvuvu, ww hivi ww vile mbona fulani yuko hivi ana hiki na kile na muka sawa kiumri umesima nae hadi chuo.

HALI SI SHWARI ELIMU TULIZOPEWA HAZIKIDHI HAJA YA MAPAMBANO MTAANI.
 
Tunasoma kupata maarifa sio kupata hela,,kuna wanyantuzu standard four failure,wametusua kuzidi maprofesa
 
Umri sio kitu cha kuwazia kuhusu umri wew pambana tu KUISHI na kufa Ni suala lililo nje ya uwezo wa mwanadamu
Alafu simamia mtizamo sahihi kuhusu maisha na mafanikio
Mafanikio ni wakati wowote ila juhudi zinaitajika bila kukoma
 
Haahaahaa mkuu umenifurahisha sana

" Maisha yakikuletea mapozi piga chini" huu msemo nimeukariri
Yes mkuu, kuna watu wako serious na maisha hadi wanasahau kuishi, ni vyema tukabadili mind set zetu na kujua kwamba maisha ni haya tunayoishi na kwamba hatuelei angani kwa ajili ya kuandaa so called maisha...simple, kama bado unasubiri mume/mke bora atoke sayari nyingine subiri ila usimnange mwenzio ambaye naye anaishi na shilole wake ki uchebe uchebe wakati huo huo akimsubiri ajaye! Penda, gombana kidogo ,kopa kidogo,fitini inapobidi, chepuka kiasi, sali kiasi, siasa kidogo,jiweke classic kiasi, kuwa mkaidi, shabikia chochote ilimradi tu birthday zinasoma...baaaaasi!
 
Mkuu kwanza nakupongeza kwa kufanya evaluation ya kujua ulikotoka na ulipofika, na kwa mwendo upi! Hilo tu limeonyesha kuna kitu ambacho unakikosa kama stata ya kufanya mambo ya maendeleo! Kama pengine labda huna ajira au ajira yako inalipa kidogo, basi kuwa mvumilivu ni suala muda! Pia umri wako bado una nafasi kubwa ya kufanya mambo ya maendeleo , jitahidi usiwe na uchaguzi mwingi wa shughuli ya kufanya, jiingage katika shughuli yoyote hata kilimo na uwekeze muda mwingi na maarifa mengi nina imani utatoka tu! Pia usiwe mtu wa kujilinganisha sana na maendeleo unayoyaona kwa majirani zako yatakupoteza kuna wengine wana misaada ambayo wewe huna, kuna wengine wanatumia mbinu za mkato ambazo si halali! Hivyo jiamini na usimamie katika lile unalolitolea jasho wewe mwenyewe na usiwe mwepesi wa kukata tamaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom