Rocky city mpo kweli?... Ebu jitokezeni!

Rocky city mpo kweli?... Ebu jitokezeni!

Kwanza tunaomba ututake Radhi kwa kututusi, Inaonekana upeo wako wa kufikiri ni mdogo. Utawaitaje watu ambao huwafahamu MBULULA??

Kwa taarifa yako tulikwisha kutana na tukaanzisha umoja wetu, Na taarifa za vikao vyote tuliziweka hapa jukwaani.

Sina mengi ya kusema ila watakuja na wenzangu watasema. Ngoja nilale mie!

Aione mlezi wetu Arushaone, Mwenyekiti Rock City, wajumbe Elizabeth Dominic, ram, Gedeli, Home First, Think pad na beibe nasty ThinkPad

Mpotezee huyo. Anadhani mlikuwa na ahadi hewa kama za kile chama cha rangi ya kijani kiitwacho CCM?
 
TUTOR B Nimekuwa nikiwatafuta members wa JF walioko jijini Mwanza bila mafanikio, hivi kweli mpo au? Nijuze wapi mwakutana w/end hii? Japo kesho nina kikao cha harusi pande za Nyegezi lakini nawezakuahirisha ili niweze kufahamina nanyi. Ebu jitokezeni na kama vipi ni-PM ili nipate namba zenu.

Nawashukuruni wote mtakaojitokeza kuitikia wito huu.

Duh wana rock cty (mwanza) kuwen makn msiende kchwakchwa wazee wa kung'oa meno na kucha wanataka kuwatambua..akili ni nywele kama mmenyoa zote mtajuta..kuwen makn na kucha na meno yenu yasjewapata ya ulmboka na kbanda
 
charminglady umesahau kunicopy mimi member wa heshima

ninapata wasi wasi kama Tutor B ndo huyu huyu au kuna mtu kaiba pwd yake?

Hata mimi nimeshangaa sana, mara nyingi tunapishana hapa mtaani "JF" tunapeana hi ila nashindwa kuelewa kwanini katutusi kiasi hiko.... Au ndo alikuwa KERORO kwa bia za Lenana?????
 
Last edited by a moderator:
Naitwa Muriro wa Bare naishi Kilimahewa...tukutane Makoroboi nitaleta biashara yangu ya samaki Kamongo hapo Makoroboi...sijui mwenzangu unaitwa nani?
Naitwa Gotolwa Mashiku, ukuje mwaloni ndo kuna samaki za kutosha
 
Jamani watu8, samaki makoroboi?
Huwajui machinga wewe, watakutoa nduki na samaki zako shauri yako

Naitwa Muriro wa Bare naishi Kilimahewa...tukutane Makoroboi nitaleta biashara yangu ya samaki Kamongo hapo Makoroboi...sijui mwenzangu unaitwa nani?
 
nafikiri we ni mburula mkuu! kauzu aliyekomaa.

kwanza unatambua humu JF wengi wao akiwemo wewe mnatumia majina yasiyo yenu.
watu wanaogopa sana,kwani kuna kikao kimoja pale mwanza cha baadhi ya wana JF walijikuta kati ya walioudhuria wapo watu wa TISS 5. na Arusha hivyo hivyo.

siku hizi watu wa TISS wanatumia ujinga kama wako kuwajua baadhi ya members.

Karibu mjini

Hutaniwi Mkuu, haya! sikujua kama neno hilo ni tusi. nisamehe bure
 
Jamani nisaidieni 'MBULULA' ndo nini? Mi nipo rock city mitaa fulani hv...

hapo mpaka umpate m-push original anaweza elezea maana yake, ila mtaani kwetu tunalitumia tu kama utani wa kawaida kumwongelea m2 asiyekuwa mjanja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom