Nawaombeni mnisamehe kwa kutumia neno la utani kumbe nyie mmelitafisiri tofauti na mimi nilivyomaanisha.
Kwa wale mlojibu utani kwa matusi zaidi, nafikiri inanibidi niwaelewe kwamba mapokeo ya watu tofauti, kutofautiana ni jambo la kawaida.
Naamini mmenielewa na sitolitumia neno hilo tena. Ahsanteni sana!
Wana Rock City tpo wng sn JF...
Pamoja na kuomb msamaha unastahil upgwe faini kwa Lugha yko chafu...
Napatikana Mkuyuni..
kwa haya macomment na mawe anayopigwa mwigulu si itakuwa balaaa huyu bwana naona katumwa maana humu ukiwa ---- watu wanakupa mazima , kuna mtu humu alimtukana hata waziri si unaona ni balaanafikiri we ni mburula mkuu! kauzu aliyekomaa.
kwanza unatambua humu JF wengi wao akiwemo wewe mnatumia majina yasiyo yenu.
watu wanaogopa sana,kwani kuna kikao kimoja pale mwanza cha baadhi ya wana JF walijikuta kati ya walioudhuria wapo watu wa TISS 5. na Arusha hivyo hivyo.
siku hizi watu wa TISS wanatumia ujinga kama wako kuwajua baadhi ya members.
Karibu mjini
nashukuru kiongozi, mchana mwema na kwako pia, niko Nyakato
nipo Kirumba