Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 41,818
- 72,846
HahahaHIi habari inatusaidiaje kuiondoa ccm ya wahuni madarakani?
HahahaHIi habari inatusaidiaje kuiondoa ccm ya wahuni madarakani?
ha ha sawaNakumbuka ilikuwa weekend moja tulivu, mnamo mwaka 2018.
Mimi na jamaa yangu, tunatoka mwanza sec kutafuta ufunguo wa maisha😁
Si tukapitia hapo RockCity Mall... ili tushangae kidogo mazingira then tuanze kwa mguu kuitafuta Kona ya bwiru
Bwana weeeh, usukuma nao sometimes ni mzigo😂.... punde si tukajitia ujuaji tupige picha mbili tatu katika maeneo tofauti tofauti mle ndani
Hatimaye tukajikuta eneo la bank🥺
Jamaa yangu akaenda kusimama kwenye ramani ya Tz na posters za bank, ili nimpige picha 😂😂😂
Nikampigia picha za kutosha tu, hatujakaa sawa Sijui n kikosi kitengo gani kile kikafika
nadhan n FFU
Wapo full armed, tukabebwa Tanganyika jek mpk kituoni..... sasa hapo inabidi tuthibitishe sisi sio magaidi wenye nia ya kuchora ramani ili tuvamie bank.
Kilichotusaidia ni vitambulisho vya shule, umri n.k
Baada ya kujiridhisha hatukuwa na nia mbaya wakaanza kutupa mazoezi sasa.... push up za kutosha
Viboko viwili vitatu😡
Halafu wakatupa na nauli ya kwenda home
Mpk leo sitaki mazoea na vitu vya serikali🚶🚶
Sijaenda but second wife yuko huko,nina safari moja ya kwenda nchi moja lakini mambo ya vita nimekwama,but mwanza naenjoy sanaUstaadh vipi hujarudi tena US kumtembelea bwana mdogo au Trump akaza kwenye viza
Mwanza kuna mtaa fulani kama hivi Ramadhani wa mama wanauza mtaa mzima mapochopocho ya Ramadhani, nakumbuka zamani sana, nilivutiwa sana na mwamko wa mwezi mtukufu MwanzaSijaenda but second wife yuko huko,nina safari moja ya kwenda nchi moja lakini mambo ya vita nimekwama,but mwanza naenjoy sana
Ni kweli kodi zinawashinda wengi tu,hivi sasa kuna supermarkets 2 wanja hub na viva ndio zinatamba lakini sio kubwa hivyo,vijana wengi wa kike na kiume mtoko wao ni hapa kuna baa nyingi ambazo watu hupenda.Mimi hizi baa za hapa huwa siendi huwa naenda baa za uswazi na weekends ndio naenda tilapia au malaikaKama kuna sehemu inakosewa basi ni Mwanza hapa Tanzania.Hivi Rock city mall ni shopping mall kweli?Sehemu moja nilienda kichwa kikapata moto.
Maduka ya ground floor karibu mengi yamefungwa.Wapangaji wake wote kama wamekimbia.Nilikuwa mdau wa streetsouls lakini mara ya mwisho naenda jamaa anasema wamefunga dah.Asee wanakosea Mwanza pakubwa.
sio mara yangu ya kwanza,nakuja sana hapa,kilichonifanya kuleta huu uzi ni kuelezea watu wanapokiwa hapa mall kila mtu anafuraha bila kujali kama ana shida au laNdo mara yako ya kwanza ku-interact na watu sehemu kama hiyo?
Mwache afurahi kuandika atakavyo,mie nafurahia maisha na kuwaangalia watu wanavyopita kwenda na hamsini zao.Huyo ni mtu mzima na ni bonge la tajiri na ameshakula sana dunia, fuatilia threads zake
nahisi ni karuta streetMwanza kuna mtaa fulani kama hivi Ramadhani wa mama wanauza mtaa mzima mapochopocho ya Ramadhani, nakumbuka zamani sana, nilivutiwa sana na mwamko wa mwezi mtukufu Mwanza
Nimemshauri awe na ile adabu ya asili hata kama yupo nyuma ya Keyboard 😃Mwache afurahi kuandika atakavyo,mie nafurahia maisha na kuwaangalia watu wanavyopita kwenda na hamsini zao.
mida hiyo kwa huu umri wangu siwezi kuwa hapo kabisaSubiri ifike saa sita usogee hadi kwenye kasino hapo nje maeneo ya sato sangara kwenye michezo ya watoto..usijichanganya niite k niko pale
utaniambia nini mimi mwanza,nipo hapa kwa zaidi ya miaka 10,naijua fika hiyo las vegasSogea Las Vegas hapa kona ya bwiru (Kwa manunda) ujionee watoto wa makabila yote ya Kanda ya ziwa kuanzia wakerewe,wajita,wasukuma,wakurya,wahaya,wanyambo🔥🔥 mpaka waganda na wanyarwanda na viuno vyao laini❤️😁😁 mwanza sihami
Nimeona,bro nimeona mengi sana,nimepita kwingi mno,ndani na nje ya nchi,nimeoa tz na nje pia na Mola kanipa watoto wa kutosha tu,kaka na madada wa kutosha wenye kila aina ya tabia.Basi kila siku huwa namshukuru Mola na kusali sanaNimemshauri awe na ile adabu ya asili hata kama yupo nyuma ya Keyboard 😃
Ukiingia las vegas hapa kwa mbele mkono wa kulia naona watoto..leo nipo mwanza na nipo humu ndaniSogea Las Vegas hapa kona ya bwiru (Kwa manunda) ujionee watoto wa makabila yote ya Kanda ya ziwa kuanzia wakerewe,wajita,wasukuma,wakurya,wahaya,wanyambo mpaka waganda na wanyarwanda na viuno vyao laini mwanza sihami
Ijapo naona kule ng'ambo kwa ankali kumechanganya mno..hapa nje kwenye msingi uliotazamana na diamond ni balaaSogea Las Vegas hapa kona ya bwiru (Kwa manunda) ujionee watoto wa makabila yote ya Kanda ya ziwa kuanzia wakerewe,wajita,wasukuma,wakurya,wahaya,wanyambo mpaka waganda na wanyarwanda na viuno vyao laini mwanza sihami