Roboti wa Tanzania kaniacha hoi!

Roboti wa Tanzania kaniacha hoi!

Tujifunze kuheshimu kazi za watu wakuu , hiyo ni prototype na wala si kifaa halisi ,na ukija kwenye kuzidiwa na mataifa yaliyo endelea , tumezidiwa kila kitu sio kwenye ubunifu tu.
 
Out of billions and billions of names ulikosa username ya kutumia mpaka ukaona kenge??

Pumbavu
Na NIKUHAKIKISHIE KENGE MNYAMA ANAAKILI ZAIDI YAKO huwezi kuwa na akili timamu ukaleta uzi kama huu ni trash takataka...Ni tabia za KE kwanini unauona ubunifu wa mwenzio ni takataka huo sio mdoli aisee ni Robot na kutengeneza robot sio kulala na kuamka ni process ndefu sana lazima uelewe mambo ya AI,Robotics n.k n.k sisi wadau wapenda Technolog tunakuona kama mpuuzi tu uliekosa kazi leta kitu ulichobuni kama unaona wenzako vichaa
 
Mkuu unapopanic jitahidi kuepuka hii mambo ya KE. Ni dharau kwa mama zetu aisee. Mi mtu akimzarau mama yangu hata awe nani nashuka nae.
 
KE ndo hupenda kulalamika/kukosoa na kujiona wako sahihi siku zote ndo maumbile yao na ndo Tabia tunayoiona kwa mtoa mada
 
Na NIKUHAKIKISHIE KENGE MNYAMA ANAAKILI ZAIDI YAKO huwezi kuwa na akili timamu ukaleta uzi kama huu ni trash takataka...Ni tabia za KE kwanini unauona ubunifu wa mwenzio ni takataka huo sio mdoli aisee ni Robot na kutengeneza robot sio kulala na kuamka ni process ndefu sana lazima uelewe mambo ya AI,Robotics n.k n.k sisi wadau wapenda Technolog tunakuona kama mpuuzi tu uliekosa kazi leta kitu ulichobuni kama unaona wenzako vichaa
Umemaliza mjadala,yeye anaona ni kazi rahisi.
 
salama wakuu wa kazi?

Moja kwa moja kwenye maada, Leo nimekaa zangu majira ya jioni nacheki luninga stesheni ya channel 10. Kulikuwa kuna kipindi cha TEKNO UBUNIFU kama sijakosea.

Katika hali iliyonishangaza mpaka nkaishia kucheka na kuionea huruma nchi hii ya Tanzania ni Roboti aliyetengenezwa na Taasisi yetu moja hivi,

Kiroboti kipo kama lunchbox( wametoa vitairi kwenye vigari vya watoto vya kuchezea) afu too easy in assembling(naongea haya nina ka uzoefu na mifumo ya roboti)

Roboti huyo anaenda forward na reverse tu basi as if ni toy ya my 3 year old son. No other functions designed to operate

huyo Mtaalum akaenda mbali zaidi kwa kusema wanataka wenye viwanda wawaunge mkono ili waweze kufunga teknolojia hiyo kwenye viwanda vyao.(Mtu ashindwe kununua mashine china na kui-install haraka haraka asubiri nyinyi na roboti ya ku-move forward na backward tu)

wakati wiki chache zilizopita nilishudia watoto wa miaka 9 wakiuunda roboti wenye ukubwa huo huo na huyu wa roboti wa bongo nchini CHINA NA SINGAPOR na hao ni watoto tu tena wanajiuundia nyumbani tu

ila huku Tanzania imetangazwa kuwa ni ubunifu wa hali ya juuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
hii sifia sifia ya Bibi Tozo inaharibu nchi

Ushauri: Kuna watu wana uzoefu na mifumo hii, watu wanavipaji na electronics, na robotics either kwa kusomea au natural born, wawezesheni ili nchi ifike mbali,Tusilete siasa kila sehemu aisee.

PICHA 01-(roboti wa Tanzania akiwa chini akisubiri amri ya mtaalum)
View attachment 2562069

PICHA 02-(Roboti wa Tanzania akitekeleza majukumu yake- moving foward)
View attachment 2562070

PICHA 03-(Roboti wa Tanzania akirudi reverse kurudi upande wa mtaalum )View attachment 2562073

View attachment 2562073

ACHENI MAONYESHO YA AJABU AJABU.

HUKU KWETU......
maharage kwetu 4200/KG
mchele 3600/KG
Unga wa Dona 2000/KG

Nawasilisha.
Kuwa mzalendo broh!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mwenzetu upo nchi gani, leo jioni imefika saa ngapi?
 
Haya utayakuta nchi pekee ambayo msingi wa lugha ya kujifunzia kwa miaka 7 ni hii kisha miaka 6 mingine lugha ya kujifunzia inabadilika

Mtoto wa miaka 10 (darasa la nne) kazi yake ni kukariri miji mikuu ya nchi, unakutana na mtihani kabisa mtoto anaulizwa mji mkuu wa nchi fulani, kisha mnashangaa kuwa na ki-robot kama hicho??
 
Halafu hao watoto wanaokaririshwa miji sasahivi ndio watakuja kuwa walimu wa watoto na wajukuu zetu
 
Sisi bado Sana eti mtu kaunda gari, gari au torori.

Nenda india, pakistan, malaysia bus linaundwa china ya muembe tena KWA nyundo, grenda, na welding mashine,kuanzia chassis hadi body ambalo likija huku linauzwa milioni 500.
Sisi naona kama huwa tunacheza tu
 
huyo Mtaalum akaenda mbali zaidi kwa kusema wanataka wenye viwanda wawaunge mkono ili waweze kufunga teknolojia hiyo kwenye viwanda vyao.(Mtu ashindwe kununua mashine china na kui-install haraka haraka asubiri nyinyi na roboti ya ku-move forward na backward tu)
Utasikia sherehe kubwa ya uzinduzi
 
Ipo haja baadhi ya mitaala ifutwe unasoma habari sijui za wapigania UHURU, sijui mabeberu, sijui kukariri miji mikuu ya nchi mbalimbali sijui, first world war, sijui rise and fall of empire.sijjui kina Walter Rodney,sijui nn,sijui china inapatikana na nchi gani,sijui makambi ya wapigania UHURU,
Sijui ccm ilizaliwa mwaka gani.
Hizi takataka zinajazwa bure kwenye akili za watoto. Hawawezi compete na watoto wa mataifa ya wenzetu.
Watoto wafundishe skill na ujuzi unaendana na mahitaji ya sasa. Na sio hizo cockroach. Watoto wafundishe dini, maadili, kilimo, ufundi, uraia, ambayo hata akimaliza anaingia mtaani awi kibaka au panyaroad.
Kibaka ni kijana aliyekosa skill za uzalishaji yaani ni SAwa na embe mbichi iliyolazimishwa kuiva.
Pana takataka nyingi Sana kwenye mitaala yetu.
Tumeshindwa tuige mitaala ya hizo nchi basi.
 
Wanatamani wafute ila wanawaza walimu wa mitaala mipya watawatoa wapi
 
Haya utayakuta nchi pekee ambayo msingi wa lugha ya kujifunzia kwa miaka 7 ni hii kisha miaka 6 mingine lugha ya kujifunzia inabadilika

Mtoto wa miaka 10 (darasa la nne) kazi yake ni kukariri miji mikuu ya nchi, unakutana na mtihani kabisa mtoto anaulizwa mji mkuu wa nchi fulani, kisha mnashangaa kuwa na ki-robot kama hicho??
Hakuna nchi ambayo masomo hayo hayapo
 
Back
Top Bottom