Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Ila sijui kwa nini Uto wote wamepanic baada ya kusikia mpinzani wao ni Mamelodi.

Heri yako wewe ambaye hujapanic 😂
Hahahaha Temper Yangu iko chini sana hata ishu iwe siriaz vipi huwa sipanic kihivo
Umenikumbusha tukio fulani kazini siku hio tumewekwa Chini ya ulinzi usalama kama wote 🤠
Usalama Mmoja ananiuliza mbona wewe unachukulia simpo sana hata huogopi huku wengine wameshatetemeka wanasweat balaa 😂

Cc Smart911
 
Yanga anapita mbele ya Mamelodi vizuri tu. Dawa ni moja tu: tutawatandika 3 -1 za haraka haraka nyumbani Lupaso kabla hawajaamka. Halafu tutawabana droo ya 1-1 kwao. Walisema hivyo hivyo kuwa Group D Yanga hatoboi, lakini akatoboa.
Naunga mkono hoja
 
Hahahaha Temper Yangu iko chini sana hata ishu iwe siriaz vipi huwa sipanic kihivo
Umenikumbusha tukio fulani kazini siku hio tumewekwa Chini ya ulinzi usalama kama wote 🤠
Usalama Mmoja ananiuliza mbona wewe unachukulia simpo sana hata huogopi huku wengine wameshatetemeka wanasweat balaa 😂

Cc Smart911
Inafaa uwe mwenyekiti wa KAMATI YA HAMASA SAIDIA 🐸 WASIPANIC mbele ya Mamelodi 😂
 
Hahahaha Temper Yangu iko chini sana hata ishu iwe siriaz vipi huwa sipanic kihivo
Umenikumbusha tukio fulani kazini siku hio tumewekwa Chini ya ulinzi usalama kama wote 🤠
Usalama Mmoja ananiuliza mbona wewe unachukulia simpo sana hata huogopi huku wengine wameshatetemeka wanasweat balaa 😂

Cc Smart911
wewe ni mimi kabisa, kuna upotevu flani ulitokea nikiwa mmoja wa wahusika wakaletwa wachunguzi mikwara balaa

nikawaambia aliye wateua hajielewi maana mnavyo endesha uchunguzi hamjui lolote jamaa akapaniki kwa hasira na kunambia lazima anifunge maana nna dharau

nilimwambia kwa akili yako sidhani sana , badae anawauliza wengine kwa nini hata sishtuki
 
Na hii ni march mwaka jana🤣🤣
Screenshot_20240312-171220.png
 
Kiratiba Yanga kapata bahati sana kucheza na Mamelodi Sundowns, Tarehe 27 mwezi huu timu ya taifa ya Afrika kusini yenye wachezaji 10 wa Mamelodi itakuwa na mchezo nchini Algeria siku mbili mbele au tatu Mamelodi watapaswa kuwa Dar es Salaam.

Kuna taarifa za ndani ya Mamelodi kujaribu kuomba endapo wangepangiwa timu yoyote ile kutoka Tanzania wachezaji wao wasicheze mchezo dhidi ya Algeria kutokana muda mchache wa kujiandaa pamoja na umbali wa safari kutoka Algeria to Tanzania. Wao walipendelea wacheze na ES Tunis ssb ya urahisi wa kutoka Algeria to Tunisia. Logistics za mchezo dhidi ya Yanga hazitakuwa rafiki kwao.
 
Back
Top Bottom