Robby one Pharmacy/ Fashion zinamilikiwa na nani?

Robby one Pharmacy/ Fashion zinamilikiwa na nani?

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,705
Reaction score
10,209
Toka nakua namsikia huyu jamaa matangazo yake EATV, miaka ya karibuni kaingia kwenye madawa(Pharmacy) ila sijawahi jua inamilikiwa na nani? Ni mbongo ?

Jamaa kadumu kwenye game la nguo toka kitambo sana, toka 2007 huko namsikia hadi leo bado yupo strong,

Nani anamjua huyu jamaa? Na napenda kujua katumia mbinu gani kudumu sokoni?
 
Roby ni Abduli kwa kizungu
1000055601.jpg
 
Halafu shemeji yako anavyonisifia mpole mwanamke wa Mithali 😹😜

Sisi bana tulishavurugwa kitambo ndiomana humu wanatuita madume coz hatuwasujudii..!! 🤣😹
Hahaha! mna pepo yenu nyie wamama/dada..!! Mna comment za kitemi hadi mtu anashindwa kutofautisha kati ya ke na me..
 
Elewa Robby WA nguo na Robby WA dawa ni watu wawili TOFAUTI....

Robby aliwai kuja kuomba tafu kilingeni kwetu...

Magufuri alipo kufa akaanza kuvimba..kama Kuna boss inbox yangu ipo waziii
Heeee, mi nilikuwa najua ni mwenyewe 😂😂😂 jamaa wanajina moja kabisa wote "Robby One"
 
Elewa Robby WA nguo na Robby WA dawa ni watu wawili TOFAUTI....

Robby aliwai kuja kuomba tafu kilingeni kwetu...

Magufuri alipo kufa akaanza kuvimba..kama Kuna boss inbox yangu ipo waziii
Kilingeni? Uchawini ?

Sema jamaa hawatakosana kwenye majina kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom