Road licence Kufutwa

Sasa watabebeshwa mzigo wanaonunua mafuta kwa ajiri ya matumiz mengine kama kuendesha mitambo
Hebu nisaidie, na sisi wapanda daladala tunaepuka vipi wakati wewe ndio utawalipia wafanyabiashara za magari ya abiria?
 
Itategemea unavyotumia gari lako ukisafiri sana utanunua mafuta mengi hivyo kulipa kodi kubwa zaidi na zaidi.

Na utalipa zaidi ya kiwango unacholipa sasa bila kujijua. We chekelea tu
 
waittttttttttttttttt
nitarudi.

mie nipeni source tu ya hii habari ili niandae ka shughuli kakujipongeza.
 
Jana nilikuwa nimekaa mahali na marafiki tunapata kinywaji baada ya kazi ngumu mmoja wa marafiki zangu mfanyakazi wa TRA akatumegea tulipomdadisi zaidi akakataa kufunguka nadhani akupenda tujue mambo ya ndani sana.

Mkuu ingependeza sana!
Pamoja!
 
Hii itakuwa habari njema kwanza mapato takusanywa kwa wingi zaidi kwa sababu wigo utakuwa mpana zaidi, mfano badaala ya 250,000/ tunayolipa kwa magari madogo which is fixed /yr, sasa hivi mtu unaweza lipa mpaka 500,000/ mpaka 1mil kama mtu wa misele bila kusahau ka si wa misele unaweza lipa laki1 ni ww tu na unavyotumia mafuta, hivi vitu ndo vinavyotakiww sasa
 

Pamoja mkuu100%
 
Bora tu maana hata ukipibaki miezi utalipa na faini iko pale pale
 
Yaani road licence imaeisha May 2014 unaogopa kuendesha? Aissee wewe ni mzalendo. Yaani kama ni mie hilo naliendesha mbele ya mkuu wa ma trafiki duniani na hanikamati.
Watu imeisha tangu March alafu wanasukuma ndinga tu!
 
Wacha woga weewe. Mimi road licence imeisha tangu may 2011 na hadi leo gari ipo njiani kama kawa. Naingia posta kila siku na nasafiri mkoani na surf langu mtindo mmoja.
 
Hahaha, i hate you kwa kufanana kwetu. Yaani nilishawahi tumia gari bila vehicle licence miaka 2!
Yaani road licence imaeisha May 2014 unaogopa kuendesha? Aissee wewe ni mzalendo. Yaani kama ni mie hilo naliendesha mbele ya mkuu wa ma trafiki duniani na hanikamati.
 

Ila wale wa gari za hybrid bonge la dili kama ni kweli.
 
Na gasoline ikigonga 4500 bei ya mwanzo hadi 9500 kwa lita msilalamike!
 
Kufuta RL na kuifidia kwenye mafuta ni kumtwisha mzigo mzito Abiria.

Ingawa RL inanigusa na kuniumiza,kuiahamishia kwenye mafuta sitaunga mkono hilo wazo, kitu kinachopaswa kufanyika ni kuipunguza hiyo kodi maana ni kubwa mno, na inapandishwa kila baada ya miaka isiyopungua miwili.
 
Ngongo katika kodi ambazo ni rahisi kukusanya ni pamoja na Road License, hii kamwe haiwezi kufutwa. Kozi za kwenye mafuta zina shida yake si mafuta yote yanapitia kwenye mfumo halali wa kibiashara mfano "Transit fuel"
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…