Riwaya: Tutarudi na roho zetu?

Riwaya: Tutarudi na roho zetu?

kiongozi wapi kk tupatie basi.simulizi hii.umekaa kimya sana kk
 
Uuuuwiiii!!!!! Sasa mpaka lini tena mkuu?
 
Hivi hamna mahali pa Ku "ripoti" spam niwaripoti hawa??
 
bwana kid kudi kweli hujaridhika na adhabu uliyotupatia....
 
Hii imezidi sasa..
Sijui umekula maharage ya wapi wewe KidKud
 
Hii imezidi sasa..
Sijui umekula maharage ya wapi wewe KidKud

Mtamulaumu bure, tatizo ni kwamba nyakasagani kaenda kumsalimia bibi yake kule salama A/nyamuswa hadi arudi. Kwenye Blog yake hajapost kitu toka 27 june 2015
 
Si kuna wenye vitabu? Maktaba ya Arusha Ina hivyo vitabu. Sina Membership
 
Back
Top Bottom