So kuna thread ya hii riwaya ya Gaidi?maana naona hapa imeingia kwenye thread ya Siri
Huu ni mwendelezo mkuu....Kuna matukio yanahusiana na part 2 zilizopita
Huu ni mwendelezo mkuu....Kuna matukio yanahusiana na part 2 zilizopita
Huu ni mwendelezo mkuu....Kuna matukio yanahusiana na part 2 zilizopita
Chief kama umepata kuanzia hiki kipande cha 9 nisaidie maana me nimekikosa kabisa. Naona mdau kaanzia season 3Part2.. season 2.......kuanzia episode ya 9
Yeyote Mwenye Pdf ya hii riwaya ya SIRI PART 2 na kuendelea naomba anisaidie... Natanguliza Shukran
Nimeiona Chief, Shukran sana... Now Arosto inaniandamaPart 2 yote ipo humu....Pitia hizo thread