luvie pearl
Member
- Jun 20, 2019
- 91
- 65
Ikiwezekana na mimi naomba unitumie mkuuDah pole nduguu mm kuna mkalii wao kanitumia muendelezo big up sana kwake,(natamani nimtaje ila hofu yangu sijui kama atapenda)ombeni na mtapewa asee, ngoja ni Jifunze kutumia ma pm nikutumie na ww
Dah pole nduguu mm kuna mkalii wao kanitumia muendelezo big up sana kwake,(natamani nimtaje ila hofu yangu sijui kama atapenda)ombeni na mtapewa asee, ngoja ni Jifunze kutumia ma pm nikutumie na ww
na mm naombaDah pole nduguu mm kuna mkalii wao kanitumia muendelezo big up sana kwake,(natamani nimtaje ila hofu yangu sijui kama atapenda)ombeni na mtapewa asee, ngoja ni Jifunze kutumia ma pm nikutumie na ww
Nitumie mimiNani nimtumie aendeleze hapa kupost
Ninyi watu mlikuwa mnatupia hapa kumbe mbeleni mlikuwa mnatengeneza arosto kali. Acheni hizo basi malizieni hii riwaya!
Ninyi watu mlikuwa mnatupia hapa kumbe mbeleni mlikuwa mnatengeneza arosto kali. Acheni hizo basi malizieni hii riwaya!
msamehe bure hakika umejitahid kutupia mnoo hujapata hiyo part twoHata shukrani kidogo umeshindwa onesha
Unaogopa urahibu hahahahahahina uzwa shs ngapi? Arosto sitaki
Unaogopa urahibu hahahahahah
Dah hivi part three bado?? Hii story s mchezo wapi melanie chuma?
Dah hivi part three bado?? Hii story s mchezo wapi melanie chuma?
Tutaianza siku c nyingi, maana nilikosa muda wa kuitupia....Kwa hiyo msihofu
Okoa jahaz mkuu, tunasubir kwa hamuTutaianza siku c nyingi, maana nilikosa muda wa kuitupia....Kwa hiyo msihofu
Tutaianza siku c nyingi, maana nilikosa muda wa kuitupia....Kwa hiyo msihofu
part three unayo kamili? Me ninayo part two nzima sema namna ya kuziweka hapa ndio zinanitizaTutaianza siku c nyingi, maana nilikosa muda wa kuitupia....Kwa hiyo msihofu