Riwaya: Saa za Giza Totoro

Duuh
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah! Hapo ndo strength of woman inapoonekana! Mnyama snox anawaza kuweka magazin chin! By the way mim nipo mwanza kisesa huku kitabt nakipataje? Usisahau kuniita ukipost tena na cjui ni lin utapost tena
 
Mkuu naweza pata soft copy yake??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hadithi nzuri ila inanisikitisha haitokuwa na mwisho mzuri. Maana kama unaangalia action movie
ilivyo ni kama msimuliaji ameanzia katikati kisha akarudi nyuma hivyo ni rahisi kutabiri mwisho wake!...........


mwisho huyo boss wao atauliwa na huyo dogo sterling, then ataanza kuishi maisha yake na saima!.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…