i keep ma promise
Senior Member
- Feb 8, 2017
- 152
- 489
Bastard anamkosi
Muache aamshe dudeeeeBastard anamkosi
Wanakera sanaHapo ndio nasemaga tu walimu waongezwe mishahara...yaani majukwaa yote yanakataza huu mtindo lakini mtu bado anaquote tena very comfotable
"Chuchu kama za swaiba" Huyu huyuu hahhaaa mwenye chuchu kama za swaiba amefanyiwa ukibiti

dah! Shunie umepata wa zaidi yako humu.

hahahhh kisukari jamaanMmh mdogo wangu ibra ndio umeshampenda shunie nini? Maana sio kwa kumpaisha huko
Hapana dada, Shunie ni Mke Wa Swahiba wangu wa Zamani
wewe ibra huyo atakuwa shunie mwingine aisee
Mke mwee nini shida mbona umekuwa adimu hiviMke mweee zaidi yako kapatikana hku,shukrani bwana Ibra
we swahiba yako yupiiii mwenyewe sumjuiNdiyo wewe bhana