RIWAYA: Mtumwa wa Ngono

RIWAYA: Mtumwa wa Ngono

SLAVE SEX(mtumwa wa ngono).......(19)
MTUNZI....EMMANUEL F. KWAY
Contact...+255718 862176
AGE....(18+)
ILIPOISHIA.
“Ndio”
Gloria akarudi na kubadili nguo,ambapo alivaa dera
na kitambaa kichwani wakaongozana mpaka
kanisani,Mchungaji Patrick alikuwa teyari yupo
kanisani anahubiri neno la Mungu,wakaingia mtu
na mke wake na kuketi viti vya nyuma kutokana
na umati wa watu uliofurika siku hiyo ya Jumapili.
SONGA NAYO.
Siku hiyo ilikuwa furaha kubwa sana kwa Nickson
Shayo,kufanikiwa kumpeleka mke wake Gloria
kanisani ili tu akasikilize neno la Mungu,Mchungaji
Patrick mtumishi wa Mungu alikuwa mbele ya
madhabau anahubiri neno la kiroho,aliongea
mambo mengi sana hususani swala zima la ndoa.
“Bwana apewe sifa”
Mchungaji Patrick alisema na waumini wakaitikia
kwa sauti “AMEEEEN” kisha kuendelea,
“Mathayo mtakatifu sura ya kwanza mstari wa kumi
na nane; kuzaliwa kwake yesu kristo kulikuwa
hivi.Mariam Mama yake alipokuwa ameposwa na
Yusufu,kabla hawajakaribiana alionekana ana
mimba kwa uwezo wa Roho mtakatifu,Halel
uyaa,Bwana yesu asifiwe sana”
“Ameeeeen”
Waumini waliitikia na Mchungaji Patrick akaanza
kuelezea maana ya neno hilo la Mungu.
Mchungaji Patrick alikuwa ni mwenye jina kubwa
sana alikuwa ni kipenzi cha watu, sababu ya roho
yake nzuri ya kuwasaidia wasiokuwa
navyo,aliwasaidia maskini na kila baada ya mwisho
wa mwisho alikwenda mahospitali kutoa misaada
na kupita vituo vya watoto yatima,jina lake
likavuma zaidi na hata alipoomba msaada nje ya
nchi kuhusiana na pesa alipatiwa mara moja,
alikuwa akitembelea gari la kifahari aina ya
HAMMER III original, mbali na hapo alikuwa akiishi
katika nyumba kubwa ya kifahari aliyojengewa na
usharika.
Wanawake wajane walimpenda na kila walipomfuata
basi hawakulalamika tena,baada ya neno kuisha
alitembea mpaka ofisini kwake, huko aliketi na
mlango wake ukagongwa baada ya kuweka makalio
yake chini.
“Ingia”
Mchungaji Patrick alisema na hapo sura ya
mwanamke mnene kiasi aliyevalia dera zito
kuingia.
“Mama Isack karibu,bwana asifiwe”
“Hakuna cha bwana asifiwe hapa,juzi nimekuja
hapa nikakuta foleni au na wengine unawafanya
kama unavyonifanya?”
Mama Isack alijibu kwa swali, huku akimsogelea
Mchungaji Patrick karibu.
“Lak.....”
Kabla ya kumalizia neno lake akashtukia Mama
Isack kashamvaa mdomoni na kutoa ulimi wake,
wakaanza kulana denda,mbali na kazi ya utumishi
wa Mungu, Mchungaji Patrick alikuwa anapenda
ngono kupita kiasi,aliwalaghai wanawake wajane
kisha kufanya nao uzinzi,hakuna mtu aliyeweza
kujua siri hiyo kuwa mchungaji anayeaminika
karibia jiji zima anajiusisha na mambo
yasiyompendeza Mungu,hakuna mtu hata mmoja
angekuamini endapo ungemshtaki, kutokana na
sura ya upole wake.Mchungaji Patrick alikuwa ni
simba aliyejifika ngozi ya kondoo.
“Umefunga mlango lakini?”
“Achana naooo bwanaaa pati”
“Hapana ngoja nikafunge kwanza”
Mchungaji Patrick bila haya, akatembea mpaka
mlangoni na kufunga mlango kwa funguo,akafungu
a redio na kuweka kanda aliyojirekodi anaomba na
kuimba ili atakaye pita ajue yu kwenye maombi
kumbe anafanya tendo baya la umalaya.
Mchungaji Patrick alimsogeza Mama Isack mpaka
karibu kabisa na meza na kumpandisha juu yake,
hapo alimnyonya mama huyu Shingo yake huku
mkono wake kupita chini kabisa ya pango akiwa
kama anatafuta kitu,
dera likapitishwa shingoni likatolewa na kutupwa
chini Mama Isack akabakiwa na chupi,waliendelea
kulana denda mfululizo na Mchungaji Patrick
akatoa fimbo ya Musa nje, ikiwa imesimama Wima,
hapo hapo akamuweka Mama huyu sawa mikono
yake akaizungusha kiunoni mwake akawa
anamvuta karibu yake zaidi,Mambo yakawa tayari
mchungaji alishika miguu ya MAMA huyu Mjane na
kuanza kumsulubu vya kutosha.
“Ahhhssss Mchungaji...Mhhhh aaaah haaa...po
haaa...po mmmh aaaah mhhhhhh”
Hizo ndizo kelele za puani alizokuwa anatoa Mama
Isack akiwa sayari nyingine, macho yake
anayazungusha huku na kule anakatika juu ya
Meza,alikishika kichwa cha Mchungaji Patrick
Vizuri kabisa huku akiwa anamng’ang’nia
shingoni,akaachia ukulele wa nguvu.
“Baba ni katika jina la Yesu,naomba umfungue
huyu Mama kuanzia leo,na ujidhihirishe leo kuwa
wewe ndiye simba wa Yuda.....”
Hayo ndiyo maneno yaliyokuwa yakisikika kutokea
ndani ya chumba cha Mchungaji Patrick.Hakuna
hata mmoja aliyejua kuwa ilikuwa ni kanda na
Mchungaji Patrick alikuwa ofisini kwake ana fanya
mambo yasiyo staili endapo angekutwa na
waumini wake.
“Leo mchungaji atakuwa ameshukiwa na roho
mtakatifu”
Muumini mmoja alimuuliza mwenzake.
“Ni kweli,hawa ndiyo watu wa Mungu
bwana,Mchungaji Patrick ni mtu mzuri sana tangu
nimlete hapa mke wangu,aisee imekuwa miujiza
sana,hatimaye ananiheshimu yaani ikifika tu
Jumapili huyo mwenyewe ananihamsha,Kwa kweli
bwana apewe sifa”
“Amen”
Watu wengi walifurika nje ya mlango wa mchungaji
Patrick,hasa hasa wanawake wajane na wake za
watu,jambo hilo halikuwashtua watu sababu
walisema kuwa wanaenda kuombea waume zao
watulie na Mchungaji Patrick ndiye alikuwa
mwenye miujiza hiyo,
kuna wengine walidiriki hata kumuita Mesiya
wakijaribu kumfananisha na Mungu.
Katika kundi la watu waliokuwa nje wanasubiri
huduma ya Mchungaji Patrick alikuwepo Nickson
na Mke wake Gloria.Nickson alitaka kwenda
kumuonesha Mchungaji Patrick mke wake ili
waombewe na amuombee kiumbe kilichokuwa
tumboni mwa Gloria,alijisikia faraja sana kwenda
katika nyumba ya ibada na aliamini miujiza
ingetokea,
alishasikia kwa watu miujiza ya Mchungaji Patrick.
Ghafa mlango wa mchungaji ukafunguliwa
akatokeza Mama mweupe mnene akiwa amevalia
dera.
“Bwana Yesu asifiwe”
Mama Isack alisalimia.
“Ameeen”
Waumini waliokuwa nje wakaitikia kwa
pamoja,akaingia mwingine kuomba msaada wa
kiroho, msichana huyo naye alikaa kwa mchungaji
nusu saa lizima,ivyo ndivyo ilivyokuwa lakini
wakiingia jinsia ya kiume hata dakika kumi zilikuwa
haziishi.
Zamu ya Nickson na Gloria ikawa imefika
wakaingia na kufunga mlango.Macho ya mchungaji
Patrick yakatua juu ya uso mzuri mweupe wa
kung’ara ambao ulipakwa mafuta ya
kunukia,Mchungaji Patrick alipagawishwa na Uzuri
wa mke wa mtumishi wake Nickson.
“Bwana Yesu asifiwe mchungaji”
Nickson alisalimia na kumshtua Mchungaji Patrick
aliyekuwa ameduwaa.
“Ameen,Wewe ndiye Mr.Nickson,si ndo wewe?”
“Ndiye mimi baba Mchungaji”
“Bwana asifiwe sana”
“Amen mchungaji”
Hakuna kitu kingine zaidi alichofanya
Nickson,alimtambulisha Mke wake kwa mchungaji
Patrick wakapeana mikono,Nickson akazidi
kumshukuru mchungaji Patrick kisha baada ya
hapo wakafumba macho wakasali kwa pamoja.
Katikati ya maombi Mchungaji Patrick akafumbua
macho yake ili kutathmini uzuri wa Gloria,akawa
ana kazi ya kumkagua kuanzia juu mpaka chini,
tamaa ikamuingia ya kimwili,pepo baya la ngono
likaanza kufanya kazi yake,akazidi kurefusha
maombi ili azidi kumkagua Gloria zaidi na zaidi.
“Katika jina la Yesu mwanao mpendwa tunaomba
na kukushukuru AMEEEN”
“Ameen”
Mchungaji Patrick alimaliza na wote wakaitikia,Nick
son akahisi moyo wake umekuwa mweupe na
ameutua mzigo.Hakuelewa ni kitu gani kinaendelea
ndani ya mchungaji wake.
***
Maisha yalizidi kuendelea kama kawaida nyumbani
kwa Nickson huku mimba ya Gloria ikizidi kuwa
kubwa na tumbo lake kutokeza mbele,Nickson
alikuwa akisubiri kwa hamu sana siku ya
kujifungua kwa Mke wake,alikuwa akiomba ruksa
mara kwa mara ofisini ili awahi kwa mke wake,hilo
alikubaliwa.
Kwa ajili ya msaada zaidi Nickson akaamua
kumpigia Mama yake simu aliyekuwa mkoani
Kilimanjaro ili aweze kufika Dar es salaam mara
moja,na hiyo ndiyo ilikuwa mila na destuli.
Mama akawa ameingia siku ya Jumanne Nickson
baada ya kutoka ofisini akanyoosha mpaka Ubungo
Terminal kwenda kumpokea Mama, walivyoonana
wote walifurahi sana.
*****
Kila kilichoendelea nchini Tanzania Mr.Zuma
alipewa taarifa,Gloria aliwasiliana na Bwana Zuma
kisiri sana.
“Najifungua mwezi ujao,utakuja?”
Gloria aliuliza akiwa simuni.
“Nitakuja,kwanini nisije?”Mr.Zuma akajibu kwa
swali.
“Nitafurahi sana kukuona”
“Sio kuniona tu,nitakuja tutakaa kisha tuondoke
sote kuja Afrika Kusini”
“Nitafurahi mno”
“Sawa utaniambia hospitali utakayo fikia na kila
kitu”
“Ondoa shaka”
Gloria akakata simu.Ivyo ndivyo ilivyokuwa licha ya
kukaa na Nickson lakini hakuwa na mapenzi naye
hata kidogo,hakutaka kulionesha swala hilo wazi
wazi.
Alivyokuja Mama yake na Nickson akajifanya
kumchangamkia kumbe moyoni alichukia vibaya
sana.
“Subiri,hawa dawa yao ngoja aje Zuma,wataipata
freshi shenzi zao,nawaachia mtoto mimi nasepa
zangu”
Mambo hayo yalitiririka ubongoni mwa Gloria
akiwa mezani na Nickson pamoja na Mama yake
mkwe!
Hatimaye miezi tisa ikawadia, na siku za
Kujifungua kwa Gloria zikafika,Nickson hakutaka
mke wake apate shida, mara moja akamuwaisha
hospitali ya Aghakhan hata kabla hajajifungua
mtoto.Hakuacha kumuomba Mungu siku zote ili
mtoto wake wa kwanza azaliwe salama,Siku hiyo
yeye na Mama yake walisali na walimuweka Gloria
katika Mikono ya Mungu.
***
“Ng’aaaaaa ng’aaaaaa ng’aaaaaaaaaaa”
Ilikuwa ni sauti ya kichanga kutoka ndani ya
chumba ambacho wanaume hawaruhusiwi
kuingia,wakunga wakigongana vikumbo huku na
kule,usiku wa saa saba.
“Embu mwangalie mtoto wa kike au wa kiume?”
Mkunga alimuuliza mwenzake.
“Huyu wa kike na ana afya nzuri,hongera Mama
umejifungua mtoto wa kike”
“Ahs....ante”
Gloria alipatiwa mtoto wake akambeba, aliachia
tabasamu na kumnyonyesha hapo hapo.
Alijifungua salama salmin, tena bila operesheni ya
aina yoyote ile.
Asubuhi yake Gloria akaamishwa chumba kingine,
akapelekwa kwenye wodi la akina mama
waliojifungua.Nickson na Mama yake walikuwa
teyari wamefika hospitali.
Na Mr.Zuma alikuwepo Tanzania aliingia siku mbili
kabla,na ndiyo hapo Gloria alipompigia simu ili aje
kumshuhudia mtoto wake.
Naye mara moja akawasha gari ya kukodi,
akielekea hospitali ya aghakhani,akaulizia ilipo
nayeye akafika.Nickson,Mama Nickson na
Mr.Zuma wakafika chumba alicholazwa Gloria kwa
pamoja.
“Gloriaaaaaa,Real?”
Mr.Zuma aliruka kwa furaha mpaka kwenye kitanda
cha Gloria na kuanza kumpiga mabusu mengi
mfululizo,jambo hilo likashuhudiwa na Nickson
pamoja na Mama yake, wote wakabaki vinywa
wazi!
BILA KUSAHAU KWAMBA HADITHI HII INAPATIKANA
YOTE WATSAP NA INBOX KWA MALIPO YA TSHS
3000/- KWA MWEZI,mawasiliano namba +255718
862176
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi
kway@storyzakway
ITAENDELEA.
 
Nick unaboa aisee mpige ata kibao basi kha!
 
SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)......(20)
MTUNZI….EMMANUEL F. KWAY
Contact…+255718 862176
AGE…(18+)
****
Kitendo cha Zuma kummiminia mabusu yasiyo
kuwa na idadi mke wake kiliufanya moyo wake
udunde kwa kasi, lakini sio yeye tu hata mama
yake mzazi alishindwa kuelewa na kupata jibu
sahihi.Nickson akatembea taratibu kwa unyonge
karibu na Mke wake hakutaka kuharibu furaha
yake,mtoto aliyelala karibu na mke wake aliufanya
moyo wake uachane na mwanaume aliyekua
akishughulika na mke wake.
“Hongera sana”
Alisema Nickson kwa unyonge.
Mr.Zuma akamuachia Gloria na kusimama wima
pembeni,kichwani nayeye alikuwa ana mengi ya
kuuliza lakini hakutaka kukurupuka.
“Ahsante”
Gloria alijibu bila kuonesha furaha yoyote,hakufura
hi ujio wa Nickson na Mama yake hata
kidogo,moyoni alichukia kupita kiasi lakini
alimuheshimu mama yake mkwe,hakutaka kuivua
ngozi yake kwa wakati huo,ilikuwa bado mapema
kuonesha makucha yake.
“Kaka habari yako,naona hatufahamiani,mimi
naitwa Nickson”
Nickson alianza kusema na kumgeukia Mr.Zuma.
“Mimi niite Zuma,Zuma”
Wakapeana mikono na Nickson.
“Nickson”
Gloria akaita.
“Naaam”
“Huyu ni rafiki yangu,nitakuambia kila kitu tukiwa
nyumbani”
Gloria alimuwahi Nickson na aliongea ivyo kwa
makusudi yake binafsi.
“Sawa,naomba mtoto nimbebe”
“Huyu hapa,mchukue”
Nickson moyo wake ulifurahi, akakaa juu ya moja
ya kitanda huku akiwa na kichanga mikononi
mwake, pembeni alisimama mama yake mzazi
akionesha furaha ya ajabu baada ya mjukuu wake
kuliona jua.
“Hongera sana”
Mama naye akatia neno,Muda wote Gloria
alionesha sura yenye wasiwasi mno.Mr.Zuma
ilibidi atoke nje ili awape faragha.Hakuna
kilichozungumziwa zaidi ndani Ya wodi hilo
isipokuwa Gloria kupewa Hongera nyingi,Licha ya
hapo Nickson alimuhaidi Gloria zawadi kubwa mno
siku za usoni.
Siku zikaenda huku wakihangaika kutafuta jina la
kumpa mtoto, wote wakahafiki kwamba mtoto aitwe
Sonia.
“Kwahiyo umekataa aitwe Brenda?”
Nickson alimuuliza Mke wake siku hiyo wakiwa
nyumbani baada ya kuruhusiwa.
“Aitwe Sonia,Sonia ndiyo jina zuri lina swaga”
“Duu! Swaga tena”
“Ndio,au hujui maana ya swaga?”
“Naelewa lakini sielewi hilo neno umelitoa wapi”
“Jamani,si nasikia kwa watu”
Sonia alipendwa kupita kiasi,hasa hasa na Nickson,
baba yake.Alikuwa akilia kidogo moyo unamuua
mno.
****
“Ng’aaaa ng’aaaaaa”
Mtoto alilia usiku wa saa tano.Siku hiyo Nickson
alichelewa kutoka kazini, kutokana na kesi nzito
kumkabili alikuwa amekodiwa kama wakili, hivyo
kutetea kesi nzito ya mauji iliyokuwa ikimkabili
Mwanamke tajiri wa kireno aliyekutwa na kesi hiyo,
Nickson alikuwa bize siku mbili mfululizo na
kusababisha arudi usiku sana na wakati mwingine
kurudi asubuhi kabisa,kitendo cha kushinda kesi
hiyo angeipa Mahakama jina kubwa sana na hilo
ndilo alilotaka litokee na ndiyo maana hakutaka
kulala hata siku moja akitaka kuipa jina Mahakama
ya kisutu.
Kitendo hicho kilimpa mwanya kwa Gloria kufanya
sterehe zake, Nickson akitoka basi nayeye hufuata
nyuma,Mama alilishuhudia hilo lakini hakupata
muda wa kuzungumza na Mwanaye Nickson
sababu ya kurudi usiku.
Sonia alilia sana mpaka kichwa chake kikabadilika
rangi,Gloria hakujali yeye alikuwa akivaa nguo ili
atoke usiku,alimtizama tu mwanaye wa kumzaa na
kumpuuzia.
“Nawewe funga bakuli lako,unalia lia nini,ovyoo”
Gloria alisema maneno hayo kwa mtoto ilihali
hakuelewa lolote,alikiendea kioo na kutafuta wanja
ulipo,alichukua mascala na kutinda
nyusi,akachukua poda akapaka usoni, mwisho
akaweka na ‘Make up’kinguo kifupi alichovaa
kilionyesha nusu ya maumbile yake,mgongo wake
ulikuwa wazi,hakutofautishwa na wanawake
machangudoa wanaojiuza.
Mr.Zuma alishampigia simu kuwa wakutane siku
hiyo waende disco kucheza mziki.
Gloria hakujali kuwa ana mtoto mdogo mwenye
kuhitaji malezi na maziwa ya mama, yeye aliona
anayoyafanya ni sawa,hakuumia roho hata punje.Ili
kumzuga Mama Yake mkwe akambeba Sonia na
kuanza kumnyonyesha Maziwa haraka
haraka,Sonia alinyonya maziwa mpaka akalala na
Gloria akamlaza kitandani.
Akafungua mlango wa chumbani taratibu ili atoke
nje,akanyata kwa hatua za paka au kama mtu
aliyekuwa anataka kuiba,akapita mpaka seblen
lakini alivyofungua mlango wa Seblen akakutana na
Nickson uso kwa uso nayeye anaingia,hiyo ikawa
ni mara ya pili kukutana kwa namna hiyo.
“Vipi mwenzangu usiku usiku?”
Nickson aliuliza huku akiwa amepigwa na butwaa
anamtizama mke wake aliyetoka kuzaa siku
chache zilizopita.Nguo alizotupia zilimuogopesha
zaidi.
“Wewe mbona una kuwa kama mchawi,kila nikitaka
kufanya mambo yangu unatokeza,au mwenzangu
machawi?”
Gloria aliongea akionesha chuki na badala ya
kujibu aliuliza swali.
“Gloria unaenda wapi sasa hivi?”
“Wacha kuniuliza maswali yasiyokuwa na miguu
wala kichwa,hivi kwa akili yako jinsi nilivyo vaa
hivi kwa akili ya kawaida hujajua ni wapi
naenda,naenda kuruka majoka”
“Majoka?Majoka ndio nini?”
“Naenda kuwashuhudia Twanga Pepeta”
“Gloria”
“Naomba nipite basi,mtoto yupo ndani,akilia
utampa nyonyo”
Gloria aliongea akiwa siriazi.
“Hii tabia tena umeianza lini?ulishasahau maneno
ya mchungaji?licha ya yote umetoka kuzaa tu juzi”
“Embu nipishe wewe mi….”
“Pii piiiiiiiiii”
Kabla ya Gloria kumalizia sentensi yake,mlio wa
honi wa gari ukasikika, ukamfanya na Nickson naye
afungue mlango akijua wenda ni marafiki
zake,kumbe haikuwa ivyo, lilikuwa ni gari ambalo
hakuwahi kuliona kabla, lilikuwa ni BMW
x5,akajaribu kuvuta kumbukumbu ni rafiki yake
gani anatumia gari ya gharama kiasi hicho, lakini
hakupata jibu la swali lake.
Mpaka Gloria alipomsogeza na kumpita Nickson,
akaingia ndani ya BMW x5 ya rangi nyeusi na vioo
vilivyokuwa vigumu kuwaona watu waliokuwa
ndani yake.
“Tuondoke Zuma,binamu yangu mnoko sana hapa
hakutaka nitoke,sijui yupoje”
Gloria aliongea bila aibu akiwa ndani ya gari na
Mr.Zuma,na hivyo ndivyo Mzee huyu alijua, kuwa
Nickson ni Mtoto wa Shangazi yake,na aliishi hapo
kwa kunyanyasika,kumbe ilikuwa ni danganya toto
na alitaka tu tiketi ya kurudi Afrika Kusini.
Angewezaje kuondoka bila kudanganya?
“Zuma twende baby”
Mr.Zuma hakuwa na tatizo kabla ya Nickson
kulifikia gari akawa ameliondosha kwa kasi isiyo ya
kawaida.
“Sasa itakuwaje ukirudi nyumbani?”
Mr.Zuma akamuuliza Gloria huku akiwa kwenye
usukani anaendesha gari.
“Wananinyanyasa sana,yeye na shangazi yake kisa
Mimi yatima, Mume wangu kanikimbia,nakupenda
zuma naomba usije kunikimbia”
Hata ungekuwa mwanaume mjanja kiasi gani
usingeweza kuamini kuwa Gloria anapiga fix,kwa
asilimia mia moja Mr.Zuma alimuamini na
kumuonea sana huruma,akimuhaidi kuwa ataishi
naye kwa hali yoyote ile,
alishajitolea kumsaidia, alishindwa kuelewa
mwanamke huyu Mzuri kwanini akimbiwe na
mwanaume.Gloria akafanikiwa kununua wema wa
Zuma.
**
Bado Nickson alikuwa ni mtu asiye amini kile
kilichotokea mbele ya macho yake,aliweka mikono
yake kichwani na kuchuchumaa chini,alishindwa
kuyazuia machozi yaliyokuwa yanamtoka na
kulowanisha mashavu yake,ndoa yake ilishaanza
kuwa chungu kwa mara nyingine,moyo wake
ulimuuma kupita kiasi,kamwe hakuamini kuwa
ndiye huyo mwanamke aliyemtoa kijijni Mwika
amechoka,yeye mwenyewe ndiye aliyemleta mjini
na kumpamba leo hii ndiyo yalikuwa malipo.
Jambo lililomshtua kutoka kwenye mawazo ni
mkono uliowekwa begani kwake.
“Nickson nini tatizo mwanangu?”
Mama yake ndiye alitokeza kwa nyuma,akauliza
kwa simanzi.Haraka Nickson kabla ya kugeuka
nyuma akafuta machozi yake akitumia viganja
vyake,ili Mama yake asielewe kilichotokea, hakuwa
tayari kuweka kila kitu chake wazi.
“Hakuna kitu mama napunga punga tu upepo
hapa,ndani kuna joto sana”
Nickson alisema kwa sauti iliyochanganyika na
machungu,akakohoa kidogo ili kuweka sauti yake
sawa.
“Nickson Mwanangu”
“Naam Mama”
“Kuna tatizo kubwa unalo baba,naomba uniambie
kitu gani kilitokea, nini umemfanya Gloria mpaka
anaondoka usiku wote huu?ndiyo maisha
mliyokuwa mnaishi haya,nambie baba angu,bado
mapema”
Mama aliongea kwa uchungu,tabia za Gloria
zilimchosha na alitaka kuufahamu ukweli.
BILA KUSAHAU KWAMBA HADITHI HII INAPATIKANA
YOTE WATSAP NA INBOX KWA MALIPO YA TSHS
3000/- KWA MWEZI.mawasiliano namba +255718
862176.
(SHINDANO BADO LINAENDELEA NYAKUA KITITA
CHA SHILINGI LAKI MOJA TASLIMU ZA
KITANZANIA.)
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway
insta @storyzakway
ITAENDELEA.
 
Back
Top Bottom