SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)……(21)
MTUNZI….EMMANUEL F. KWAY
Contact….+255718 862176
AGE…(18+)
ILIPOISHIA.
“Nickson Mwanangu”
“Naam Mama”
“Kuna tatioz kubwa unalo baba,naomba uniambie
kitu gani kilitokea nini umemfanya Gloria mpaka
anaondoka usiku wote huu?ndiyo maisha
mliyokuwa mnaishi haya,nambie baba angu,bado
mapema”
Mama aliongea kwa uchungu,tabia za Gloria
zilimchosha na alitaka kuufahamu ukweli.
SONGA NAYO.
Historia aliyohadithia Nickson ilikuwa ya kuumiza
moyo mno,alishindwa kuyazuia machozi yake
yaliyokuwa yanamtoka na kumbubujika
mashavuni.Mama yake alijikaza ili amfariji, hata
yeye alimuonea huruma,Nickson hakuacha kitu
chochote, kila jambo baya alilofanyiwa na mke
wake aliliweka wazi alishindwa kuwa
mwanaume,Mbali na kuwa huyo ni mama yake
upande mwingine wa shilingi alikuwa ni rafiki yake
wa karibu,Nickson alimpenda Mama yake kuliko
baba yake na kila kitu kilichokuwa kinatokea
ilikuwa ni lazima amueleze mama yake kabla
hakijafika kwa Baba yake.
Siku zote mtoto hakui kwa mama yake,alinyanyul
iwa na mama yake akiwa bado analia kwa
uchungu, wakaingia mpaka ndani ili waongee
vizuri!
“Mwanangu usilie,ipo siku atakuja tu na
atakupenda,mvumilie, hayo ndiyo mambo ya ndoa,
sisi wakristo tumefundishwa kusamehee,hilo ni
pepo tu linamsumbua”
Mama alijaribu kumfariji mwanaye akiwa pembeni
yake amemshika bega, lakini Nickson yeye
hakunyamaza aliendelea kulia machozi.Mama
akawa na kazi ya kumbembeleza mwana wala
hakuchoka.
“Mama inauma,nampenda Glori…a nampenda
sana,kwani..ni anifanyie hivi lakini”
“Ndio naelewa jua kwamba atarudi na ipo siku
moja atakuja kukuomba msamaha,vumilia
mwanangu,hata siku ile mchungaji alivyowafungish
a ndoa alisema kuwa mtapendana kwenye shida na
raha,inakubidi uwe jasiri na haina haja, mambo
yako ya ndoa kila mtu ayajue”
“Ahsante mama yangu”
“Mimi nitakuombea kwa Mungu najua yote
yatakwisha siku moja,huyo ni shetani tu na
mapepo ambayo kwa Yesu wetu kristo
yatashindwa, nachokuomba uzidi kusali usiache
kwenda kwenye maombi hata siku moja,iombee
ndoa yako,ivyo ndivyo tulivyoishi hata na Baba
yako,ndiyo maana unatuona mpaka sasa hivi tupo
pamoja”
“Kwahiyo ipo siku atabadilika?”
Nickson akauliza akiwa na matumaini.
“Ndio atabadilika tu,zidi kumuonesha upendo wa
kweli”
“Sawa Mama”
Maneno ya mama yakawa yamemuingia akilini,
Nickson akaacha kulia.
****
Gloria hakuwa na habari yoyote tena usiku huo
,ndiyo kwanza alikuwa akicheza katikati ya
‘dancefloor’huku mkononi akiwa na kipande cha
sigara na chupa ya wisky, maisha kwake yalikuwa
ya raha mustarehe,alikuwa amelewa pombe na
hakua anajua kuwa amemuacha mtoto mdogo
nyumbani.
Alikuwa akikatika viuno akiyumba kutoka huku
kwenda upande ule,uzuri wake ukawa gumzo
lingine ndani ya club, kila mwanaume aliyemuona
alimkata jicho la matamanio,
kinguo alichovaa kilizidi kuwatamanisha vijana
wengi waliokuwa wakicheza mziki katikati,ulikuwa
ni usiku wa saa sita, taa za rangi rangi zilizokuwa
zikimulika zilimfanya azidi kung’ara.Yeye Mr.Zuma
alikuwa amekaa kwenye masofa anakunywa pombe
na kuvuta sigara.
“Dada naomba tucheze mziki”
Kijana mmoja wa makamo aliyevalia hereni
masikioni na kofia alimuongelesha Gloria akiwa
nyuma yake baada ya kuvumilia kwa muda mrefu.
“Hapaaaaana nina mtuuuu tafuta mtu mwingine
kaka yangu, nipo na Bwanaaa angu”
“Poa tu,tunacheza kidogo,nitafurahi sana”
Kijana alizidi kusisitiza huku tayari akiwa
amekishika kiuno cha Gloria,taratibu akamsogelea
karibu kabisa na mikono yake akawa ameiweka
kiunoni kwa Gloria, akawa yupo nyuma
yake,wamebanana kabisa hata ungejaribu kupitisha
kiwembe kisingepita kwa jinsi walivyokuwa
wamenatana kama gundi.
Mziki uliendelea kuchezwa huku mkono wa kijana
huyo ukizidi kupita taratibu mwilini mwa Gloria,
ukapita tumboni kwenye kitovu cha Gloria
taratibu,mpaka hapo mkono haukutolewa, Kijana
akazidi kupandisha mkono wake,mpaka juu ya
Maziwa hapo alipitisha mkono ukagusa chuchu za
Gloria.Hapo ndipo udhaifu wa Gloria ulikuwepo,
ilionekana kijana huyu alikuwa mtundu
kiasi,hakuchelewa hapo hapo akiwa nyuma yake
alianza kumnyonya shingo,kidogokidogo
akamsogeza mpaka kwenye kona gizani yaani
chobingo!
kama umeme akamzungusha na kumuendea
mdomoni,kutokana na pombe alizokuwa
amekunywa Gloria na kuchanganya na kushikwa
sehemu za msisimko kwenye mwili
wake,alishindwa kabisa kushindana na hisia
hizo,akasahau mtu aliyemleta, akajikuta yupo
mikononi mwa kijana mdogo ambapo walianza
kulana denda kwa fujo,kijana akazidi kumnyonya
Gloria mdomo bila kusita huku mkono wake
mmoja akiwa ameupitisha chini na ukapachua
chupi ya Gloria na kupenya mpaka chini ambapo
ulikutana na nyasi fupi fupi,kila Gloria alipoguswa
chini aliumia.
“Mhhhh”
Gloria aliguna huku akijaribu kuutoa mkono wa
kijana,kwa mbali alisikia maumivu kutokana na
siku chache alizotoka kuzaa.
“Naitwa Adaaaaaaaam,sijui mwenzaangu
wanakuitaje mrembo?”
Kijana alijitambulisha huku akiwa amemuweka
Gloria ukutani vizuri,msichana huyu alimzidi umri
lakini yeye hakujali hilo.
“Mhhhh mimi?”
“Yap,jina lako nani?”
“Gloriiiiiia”
“Naomba namba zako za simuuu basi”
Kijana aliomba namba,Gloria akawa ana kazi ya
kumtajia bila matatizo yoyote yale.Katika kupiga
jicho lake pembeni alimuona Mr.Zuma anamtafuta
huku na kule,moyo wake ukaogopa endapo
Mr.Zuma angemkuta hapo hakuelewa ni jambo
gani lingetokea,hakutaka iwe ivyo, akachomoka
kwa Adam na kuingia chooni.Alivyotoka akajifanya
alikuwa chooni na tumbo linamsumbua.
Saa moja asubuhi ya kesho yake ndiyo alirudi
nyumbani akiwa ananuka pombe na harufu ya
sigara mdomoni,akajitupa kitandani bila kuvua
nguo,Nickson kwa kuwa alikuwa yupo bafuni
anajiaandaa,alimvua nguo zote na kumlaza vizuri
mke wake bado alikuwa na mapenzi naye,alisikitik
a moyoni lakini aliamini kuwa,ipo siku Gloria
atakuja kubadilika na kuja kuwa mke mwema.
*****
Maisha yalizidi kusonga mbele, Nickson akawa
anafanya kazi kwa bidii,jukumu la kumlea mtoto
wao akalichukua yeye mwenyewe,SONIA alikuwa
bado mtoto mdogo sana na alitakiwa kunyonya
maziwa ya mama yake, lakini Nickson alikuwa
akimpatia maziwa ya kopo kutokana na Mama
yake kutoshinda nyumbani,yeye ndiye akawa
mama.
Alimpenda sana Sonia na upendo wote ukaamia
kwa mtoto wake mchanga, akawa hana habari tena
na Gloria,mambo yote akamuachia Mungu.
“Nickson mwanangu”
Mama alimuita mwanaye siku hiyo usiku wakiwa
mezani akiwa ana mpa mjukuu wake maziwa ya
kopo.
“Naam Mama”
“Mimi naondoka kesho kutwa,sasa huyu mtoto
inakubidi umtafute msichana wa kazi,kama
unavyoona hali ilivyokuwa,hata mwezi mmoja bado
hajafikisha”
“Sasa nitampata vipi Mama?”
“Subiri,nina rafiki yangu yupo Mwanza nina imani
atanisaidia,kesho nitaongea naye afanye huo
utaratibu mara moja,ili mimi niondoke siwezi
kukuacha hivi”
“Sawa Mama nitafurahi sana”
Alishauri Mama yake na Nickson akamuunga
mkono,kesho yake simu ikapigwa Mwanza kwa
Mama Happy ili aanze kufanya mipango ya
msichana wa ndani,bahati nzuri alipata na nauli
ikatumwa siku hiyo hiyo ili msichana huyo aweze
kufika jijini Dar es salaam kesho yake.
****
“Hapa ndiyo jikoni,hili ni jiko la gesi unawasha
hivi..njoo huku ni stoo,hiki ndiyo chumba chako”
Nickson ndiye alikuwa anatoa maelekezo ya ziada
kwa msichana wa kazi aliyefahamika kwa jina la
Rukia,alikuwa ni msichana mdogo wa umri,mfupi
kiasi maji ya kunde,nyuma alikuwa amebinuka na
makalio yake yakachomoza kwa nyuma, alikuwa ni
msukuma,wakati Nickson akiwa anatoa maelekezo
yeye alikuwa nyuma yake akimfuata na kuyasikiliza
kwa umakini.
“Umeelewa lakini Rukia?”
Nickson alimgeukia na kumuuliza.
“Ndio Baba”
Msichana alijibu kwa heshima akipiga goti moja
chini,Nickson akashangazwa na adabu hiyo ya hali
ya juu!
“Na huyu ni mtoto wangu anaitwa Sonia,sasa hapa
ndiyo unisikilize kwa umakini au tega sikio lako
kwa maana nyingine”
“Ndio Baba”
“Unaona hii chupa ya maziwa,angalia hapa kuna
namba utakuwa unaweka maziwa hapa,ukishaweka
utaweka chupa kwenye maji ya uvugu uvugu”
“Hili lichupa Sasa?”
Rukia aliuliza kwa rafudhi ya kwao.Akitaka kuelewa
zaidi.
“Sikiliza,unaweka hii chupa ndani ya maji yenye
uvugu uvugu,yakipata moto kidogo ndiyo
unampa,vitu vingine nitakuelekeza taratibu taratibu
sasa hivi kapumzike,na huku ni bafuni utaingia
kuoga hiki ndiyo chumba chako kama
nilivyokwambia”
Maagizo aliyotoa Nickson yakawa yameeleweka
vizuri,Rukia akaingia chumbani akabadili nguo na
kuingia bafuni kujimwagia maji ili atoe uchovu.
Mara ghafla akasikia mlango wake
unagongwa,akavaa kanga hata kabla hajajikausha
vizuri akafungua mlango.Alijisikia aibu sana baada
ya kuona sura ya Nickson mbele yake,akatetemeka
mpaka kanga yake ikadondoka chini akabaki kama
alivyozaliwa!
BILA KUSAHAU KWAMBA HADITHI HII INAPATIKANA
YOTE WATSAP NA INBOX KWA MALIPO YA TSHS
3000/- KWA MWEZI.mawasiliano namba +255718
862176
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway
insta@storyzakway