RIWAYA: Mtumwa wa Ngono

RIWAYA: Mtumwa wa Ngono

Gloria atasaidiwa na Rukia hamna namna nyingine.....
 
aya maadisi ya umu ndo mana hua nayapotezea....hayanaga mwsho yana mwanzo tu
 
LAVE SEX(mtumwa wa ngono)…..(22)
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY
Contact….+255718 862176
AGE….(18+)
ILIPOISHIA
Mara ghafla akasikia mlango wake
unagongwa,akavaa kanga hata kabla hajajikausha
vizuri akafungua mlango.Alijisikia aibu sana baada
ya kuona sura ya Nickson mbele yake,akatetemeka
mpaka kanga yake ikadondoka chini akabaki kama
alivyozaliwa.
SONGA NAYO.
Kukwepesha macho yake pembeni alishindwa
akabaki ameduwaa anamtizama Rukia aliyekuwa
mbele yake yu uchi wa mnyama,Rukia alikuwa ni
binti mdogo kati ya miaka kumi na tisa mpaka
ishirini, maziwa yake yalikuwa yamesimama kama
mmea wa katani,kifua chake kilijigawa vizuri
katikati kilichoyatenganisha maziwa yake vizuri,akili
ya Nickson iliacha kufanya kazi kwa muda, akahisi
vitu Fulani vinapita mwilini mwake,akajikuta
anashusha macho yake chini akakumbana na
kitovu kizuri kilichoingia ndani na kikachongwa
vizuri,chini kidogo akaona njia iliyoelekea
mapangoni.
Mapigo yake ya moyo yalizidi kumwenda kasi.Pepo
la ngono likamvaa.Hata kwa Rukia ilikuwa ivyo
ivyo yeye alijawa aibu kubwa mno,kitendo cha
kanga kumdondoka mbele ya bosi wake.Alitamani
kuiokota kanga, lakini alihisi hana nguvu
kabisa.Akabaki anahema juu juu huku jasho
likimtoka usoni.
“Sama..samaaahani..Sam…ahani”
Nickson alijikuta anapatwa na kigugumizi cha
ghafla ambacho hakuelewa kimetokana na
nini,hapohapo aligeuka na kutoka kasi mpaka
chumbani kwake,huku nyuma akimuacha Rukia
akichukua kanga yake na kuiweka mwilini,alitete
meka mno,alielewa kesho yake asubuhi hana
kazi,ivyo aliogopa sana.
Asubuhi ya saa kumi na moja Rukia akawa wa
kwanza kuamka, akadeki nyumba nzima akafagia
nje,akafuta kila sehemu yenye vumbi na kuweka
kila kitu sawa,kisha kubandika chai jikoni,alivyoma
liza kila kitu alitafuta kopo la maziwa na kuanza
kufanya kama alivyoambiwa,alitengeneza maziwa
ya mtoto na kusubiri bosi wake aamke kisha
amchukue Sonia.
Nickson alivyoamka alikuwa teyari kasha vaa,
wakati huo ilikuwa teyari imegonga saa moja na
dakika mbili asubuhi,akatoka na viatu ili kwenda
kuvivaa seblen,alishangazwa sana na usafi
uliokuwa seblen.
“Rukiaaaaa”
Nickson aliita huku akiwa anaingiza soksi mguuni.
“Abee baba”
“Njooo”
Rukia akatokeza.
“Shikamoo baba”
Aliamkia kwa adabu zote huku goti moja likiwa
chini.
“Marahaba,kuna ujumbe nilikuwa nataka nikupe,
humu ndani kwa sasa hivi tunaishi watatu mimi
wewe na Mama yake mtoto, ambaye ni mke
wangu,lakini huyo usimuhesabie sana kwa sababu
ni mtu wa kusafiri safari sio mkaaji wa hapa”
Nickson hakutaka kuweka mambo yake
wazi,Alidanganya!
“Ndio baba”
“Anaweza akaja muda wowote ule,kwahiyo
umuheshimu,sawa Rukia?”
“Ndio Baba Mimi nimekuelewa,mtoto keshaamka
nimpe maziwa?”
“Bado lakini nitakupa ukae naye,embu maziwa
nione kama umeweka vizuri”
Rukia akapita mbele ya Nickson jinsi alivyokuwa
akitembea,ungedhani wenda anafanya
makusudi,mtoto huyu wa kisukuma kwanza
alijaaliwa kuwa na mguu mzuri mnene na mwendo
wake aliutumia sawasawa,alivyokuwa akitembea
lilikuwa tatito,Rukia alitingishika kwa nyuma.
Nickson akajikuta anamuangalia bila kutegemea
kutokana na asubuhi alikuwa amevaa kanga ndiyo
ikafanya vimlima vitokeze kwa nyuma vizuri.Dakika
moja baadaye alikuwa mbele ya Nickson na chupa
ya maziwa na kumkabidhi.
“Hapa sawa,ngoja basi nikuletee mtoto”
Nickson akasimama na baadaye kuja na mtoto
mchanga Sonia na kumkabidhi Rukia kisha yeye
akaondoka zake!
****
Baada ya Gloria kutorudi siku mbili nyumbani,
Nickson aliendelea kufanya kazi kwa bidii na
kujituma, hatimaye kesi iliyokuwa ikimkabili Mama
wa kireno akashinda jambo ambalo
halikutegemewa kabisa,alikuwa ana kesi ya
kushiriki ujambazi na vithibiti vilikuwa wazi mpaka
alama za vidole vyake vilikuwepo ili kumuweka
mama huyo Gerezani,lakini Nickson alimtetea
mpaka dakika ya mwisho akiwa kama wakili wake.
Kila mtu alibaki kinywa wazi, hawakuamini kama
kijana huyu Nickson angeshinda kesi hiyo ambayo
wazee wote waliobobea kwenye kazi ya uwakili
waliikimbia.Nickson ilikuwa ni kama anajaribu
bahati,Mama Monrova alifurahi sana na siku hiyo
kabla ya kuondoka alimuita Nickson ndani ya gari
lake.
“Mwanangu?”
Mama Monrova aliita,kuishi sana Bongo kulimfanya
ajue Kiswahili.
“Naam Mama”
“Ahsante sana,sikutegemea kama ningetoka shika
,hili begi ni zawadi yako na mwezi ujao naenda
nyumbani,nitakutumia visa uje kutembea kule
tafadhali”
Mama aliongea huku machozi yakimlenga huku
akitoa ‘briefcase’ jeusi alivyolifungua almanusura
Nickson azimie, lilikuwa limejaa dola za kimarekani
mpaka juu.Moyo wake ulienda mbio akahisi
umepigwa ganzi.
“Hizi? Zote?Ahsante Mama lakini sio Mimi ni
Mungu ndiye aliyefanya haya yote,naomba
umushukuru sana Mungu”
Nickson akapokea ‘Briefcase’la pesa hapo
hakutaka kurudi ofisini kwake akanyoosha mpaka
benk CRDB mnazi mmoja na kuziweka ndani ya
akaunti yake,hakutaka kumwambia mtu yoyote
Yule,baada ya siku mbili Nickson alifanyiwa
sherehe na kampuni, akaongezewa mshahara
asilimia ishirini akapanda cheo hapo hapo,akazidi
kung’aa akapewa gari nyingine ya kifahari aina ya
Landcruiser v8,ilikuwa ni shangwe kwake.
Alilia kwa furaha akiwa anapeana mkono na Mzee
Paul Kasera mkurugenzi wake.
“Hongera Nickson,umetufanya Tung’ae,pia hongera
kwa kupata mtoto vilevile”
Mr.Paul Kasera alizidi kutoa pongezi zake.
“Ahsante bosi,Mungu akubariki sana”
Nickson alifurahi mno,siku iliyoitwa Jumapili
alienda kanisani na kutoa fungu la kumi,
akimshukuru Mungu kwa kila kitu na hakusahau
kumuombea Mke wake Gloria aje kuwa mke
mwema,bado alimpenda, alitamani wawe wote
washerekehe mali hizo.
Nickson hakuwa mwanaume mjinga hata kidogo
alikuwa msomi na siku zote aliamini ardhi ndiyo
utajiri, akawasha gari na kuanza kutafuta
viwanja,alitaka kununua kiwanja ili aanze kujenga
harakaharaka, hakutaka tena kuishi kwenye
nyumba ya ofisini.Mungu sio Athumani,jioni ya
siku hiyo alipata kiwanja kimoja Yombo vituka na
kingine Sinza,siku hiyo hiyo akafanya malipo
akarudi nyumbani akiwa amechoka hoi bin
taaban,akakuta chakula mezani tayari kimeandaliwa
na Rukia.
“Pole baba”
Rukia alisema na kumnawisha mikono,alijihisi ni
mwanaume, Rukia alimuhudumia kwa kila kitu
akamuheshimu kupita kiasi,kwa huduma alizokuwa
anapewa na Rukia kulimfanya aanze taratibu
kumsahau Gloria ambaye mpaka siku ya sita
hakuonekana nyumbani lakini mara chache
huongea naye kwenye simu,Nickson akitaka kujua
hali yake lakini hakutaka kujua ni wapi alipo.
“Ahsante Rukia,Mtoto amelala?”
Lilikuwa ni swali kutoka kwa Nickson.
“Ndio baba”
“Alikunywa maziwa?”
“Ndio Baba”
“Sawa Ahsante,wewe ulikula?”
“Hapana,nilitaka mpaka wewe ule”
“Hapana bwana,wewe uwe unakula hata kabla
yangu”
“Sawa Baba”
Nickson alivyomaliza kula alimuendea Sonia na
kumbeba,Machozi yalimlenga alivyomtizama Sonia,
ghafla akamkumbuka Gloria wake,akazidi kulia
zaidi,alisahau kwamba Rukia alikuwa pembeni yake,
jambo hilo alilishuhudia,alitaka kuuliza lakini
alijizuia sababu kulia kwa bosi wake halikuwa
halimuhusu, kuuliza kwake ingekuwa ni
kumuingilia faragha.
Nickson akatoka huku akivuta kamasi mpaka
chumbani kwake,alichosikia Rukia ni jina Gloria
huku bosi wake akilia wa sauti.
“Glori…a nini nimekukosea lakini,mbo…na huna
shukrani au ki..sa mim…i sina pesa nyingi Ehh
Mungu,naomba uingilie kati nampenda mk..e wa…
ngu nampenda sa…na nampen.da mno,tafadhali”
Nickson alilia kwa sauti ya Juu ikasikika mpaka
Kwa Rukia.
****
Gloria alizidi kuponda mali,alikuwa akizifaidi pesa
za Mr.Zuma wakiruka kila kumbi ya starehe,Gloria
akawa popo,hakulala usiku hata kidogo alikuwa
akikesha disco akitanua, alishafundishwa mpaka
kuendesha gari tayari, jiji la Dar es salaam kwake
likageuka ‘pepo ndogo’,akajua kupiga honi hilo
ndilo likampa kichwa akapata kiwewe,starehe za
mjini zikampagawisha,alitembelea kila gari la
Mr.Zuma mwanaume huyu alikufa akaoza kwa mke
wa mtu alikuwa nyuma ya pazia,hakuelewa kuwa
Gloria bado yupo na Mume wake,na kuhusu mtoto
Gloria alimdanganya kuwa yupo kwa Baba yake
alimchukua.
“Baby paki hapo Slip way,nataka nikamuone rafiki
yangu mara moja”
Mr.Zuma alimwambia Gloria.
“Sawa”
“Nooo!paki hapo pembeni kwenye hiyo Landcruiser
V8 nyeusi nadhani itakuwa rahisi ukitaka kutoka”
“Sawa baby”
Gloria akakata kona vizuri akaweka gari sawa kisha
wakashuka ndani ya BMW X5 na Mr.Zuma mpaka
kona moja iliyokuwa na giza,wote wakakaa na
kuagiza vinywaji.
****
Nickson siku zote hakuweza kumsahau rafiki yake
Tito, akamchukua nayeye mpaka Slip way
kutokana na siku hiyo ilikuwa Jumamosi walipanga
kwenda kunywa sehemu ya kidosi,ili kusherekea
ushindi.
“Shayoo..,sasa bwana ngoja nikumalizie si
unamjua Sakina yule mpaka wife akanifuma naye,
Yule bwana sikufichi anagongana balaa,aiseee
mimi na umalaya wangu wote Yule kibokoo,mtoto
anakatika alalalalalaaaa,yaani mpaka unahisi
masikio yanaziba”
Tito alikuwa akiongea huku akiwa na chupa ya
Heinken mkononi.
“Punguza umalaya ndugu yangu,sio kitu kizuri
kabisa”
“Ahhhh,shenziii nani kakwambia, wewe kama
mlokole ni wewe,Mimi nishajichokea sasa
hivi,nasafisha tu rungu,na na na na……”
Ghafla Tito alianza kusita kuongea na
kuyagandisha macho yake mbele.
“Vipi?”
Nickson akauliza.
“Sio Gloria Yule?”
Nickson akageuka ghafla,moyo wake ukapiga
paaaa,alivyotaka kusimama Tito akamshika
mkono.
“Tulia,unaweza ukapigwa risasi,unaenda wapi?”
“Nitulie nini ni mke wangu Yule”
“Sawa,utulie sasa,subiri kwanza usikurupuke
utaaaibika bure, unakumbuka uwanja wa ndege
kilichokutokea”
Nickson akawa amebaki kimnya anamtizama mke
wake kila anachokifanya.
GHAFLA MOYO WA GLORIA UKAKABWA NA
wivu,akabaki anaangalia vizuri kaunta, akamuona
mwanaume ambaye anamfananisha,haraka
kumbukumbu zake zikawa zimerudi alikuwa ni
Pedeshee Kway,kibaya zaidi alikuwa amekaliwa na
Esta rafiki yake.Hasira zikamkaba,akajikuta
amechomoka kwenye meza akiwa na glasi ya
pombe na kutembea haraka mpaka kaunta,bila
kuuliza chochote alim-miminia Pedeshee kway
pombe kichwani yote,ikalowanisha nguo
zake.Taratibu Pedeshee Kway akageuka ili kujua ni
mwanaharamu gani amefanya kitendo hicho cha
kumdhalilisha,macho yake yakakumbana na
Gloria,akakasirika ajabu,akamtoa Esta miguuni
mwake na kumzaba kofi kali lililompeleka chini
chali.Kitendo hicho kikashuhudiwa na watu wote
akiwemo Mr.Zuma pamoja na Nickson shayo,
Mume wake wa ndoa.
BILA KUSAHAU KWAMBA HADITHI HII INAPATIKANA
YOTE WATSAP NA INBOX KWA MALIPO YA TSHS
3000/- KWA MWEZI.mawasiliano namba +255718
862176.
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway
insta@storyzakway
ITAENDELEA.
 
Kama nawaona akina [HASHTAG]#gloria[/HASHTAG] wanavyo jisoma humu
 
Back
Top Bottom