the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,612
- 7,110
- Thread starter
- #861
Hahahahaa, kumekuchaTena pole kwrli.
mtoto Shuu...huyooo anayeya...
Hahahahaa, kumekuchaTena pole kwrli.
mtoto Shuu...huyooo anayeya...




Mkuu Alex karibu sana ...
wenyeji wako kina Shuu na
the legend...prison of hope ..nk
Watasubiri sana...
Heshima chief na pia bila samahani nasubiriHeshima yenu wakuu. Kwanza poleni na pia samahanini sana kwa kuwaacha kimya kimya kwa muda mrefu bila taarifa rasmi. Majukumu mengine yalinibana, na hivyo sikuweza kabisa kujumuika nanyi hapa jukwaani, ila sasa nimerejea.
Riwaya ambazo nakumbuka hatukufika nazo mwisho bila shaka ni mbili, yani 'Mkono wa Chuma' na 'Mtoto wa Baba Paroko'. Kwa upande wa mkono wa chuma nimeona mkuu SPYMATE ametoa taarifa hapo juu, na ni kweli hayo ndio maelezo ya huyo Alex Kileo mwenyewe. Kabla sijapotea jukwaani nakumbuka nliwahi kumcheki kwenye simu kumuuliza kama anaiuza sehemu iliyobakia, nkiwa na lengo la kuinunua na kuileta hapa, ila alisema 'haiuzwi' na akaahidi tena kua ni lazima ataiendeleza mpaka mwisho, pindi atakapomaliza changamoto zake 'personal' zinazomkabili. Baadae ndio akaleta hiyo taarifa kama ilivyowasilishwa hapo juu.
Kwa upande wa 'Mtoto wa Baba Paroko' nlifanya pia mawasiliano na mtunzi mwenyewe Lello, akasema hiyo itaendelea kama kawaida, na wala haitakua kwenye kitabu. Isipokua kwa sasa anabanwa na zoezi la kuandaa kitabu cha 'Mimi na Rais (the President and I)', na punde atakapomalizana na hilo zoezi atapata wasaa mzuri wa kuiendeleza 'Mtoto wa Baba Paroko'.
Hivyo kwanza niwape pole ya arosto ya muda mrefu, lakini pia niwaombe tuwe wavumilivu wakati tukiendelea kusubiri muendelezo wa hizo riwaya. Tuko pamoja wakuu
Umejua kunichekesha
Karibuni sana, Mimi ndio ALEX KILEO,
Mtunzi was hizo riwaya
Inabidi ahakikishe japo kwa kuachia episode inayofuataTutaaminije we ndie kweli mana fake ids hizi si mchezo
Inabidi ahakikishe japo kwa kuachia episode inayofuata
Nadhani the legend anaweza kutusaidia kuproveKwa kweli mana hata me naweza fungua id ingine yenye jina lake
Nadhani the legend anaweza kutusaidia kuprove
Naona hapo umefurahi hadi jino la mwisho laonekana....!!!Mkuu Alex karibu sana ...
wenyeji wako kina Shuu na
the legend...prison of hope ..nk
Watasubiri sana...
Npo kaka hbr za masikubibie upo





Nimefurahi sana kuona kuwa Nina mashabiki wengi.
Jiandaeni kwa story Kali zaidi
Tunashukuru umemleta mpishi mwenyeweAfadhali umekuja mkuu, karibu sana jukwaani. Tunategemea mengi mazuri kutoka kwako



Upo sahihi amshushe Kigongo kimoja tuproveInabidi ahakikishe japo kwa kuachia episode inayofuata
Kuna group wanadai hii story ulikuwa unacopy nje ya nchi na kuitafsiri, mtunzi kasimama kuendelea, nawe huna uwezo wa kuendelea hata nusu episode. nimebaki njia pandaNimefurahi sana kuona kuwa Nina mashabiki wengi.
Jiandaeni kwa story Kali zaidi
Duu yajayo yanafurahishaa....mko tayari wapenda hadithi?????Kuna group wanadai hii story ulikuwa unacopy nje ya nchi na kuitafsiri, mtunzi kasimama kuendelea, nawe huna uwezo wa kuendelea hata nusu episode. nimebaki njia panda
Sio kwel, mimi ndio mmiliki halali wa hii riwaya, ila nina matatizo yangu binafsi ndio yamefanya stori imesimama.Kuna group wanadai hii story ulikuwa unacopy nje ya nchi na kuitafsiri, mtunzi kasimama kuendelea, nawe huna uwezo wa kuendelea hata nusu episode. nimebaki njia panda