Riwaya: Mkono Wa Chuma

Riwaya: Mkono Wa Chuma

Kuna group wanadai hii story ulikuwa unacopy nje ya nchi na kuitafsiri, mtunzi kasimama kuendelea, nawe huna uwezo wa kuendelea hata nusu episode. nimebaki njia panda
Za mbayuwayu changanya na zako!!!
Kama Kileo alikuwa anakopy ng'ambo we tuletee Jina la hiyo hadithi pia Jina la huyo mtunzi wa nje.
Bongo hatuendelei sababu ya mawivu ya kijinga na kukwazana kama hivi!!
Kuna watu walikuwa wanadai nguri Aristablus Elvis Musiba alikuwa anakopi riwaya za wazungu na kuitafsiri cha ajabu mpaka leo hakuna mtunzi anayemfikia kiuwezo.
 
Umesahau na wengine
Hammie Rajabu
Aristablus Elvis Musiba
Jackson Eric Kalindimya
Ben Rashid Mtobwa
Eddie ganzel
Euphrase Kezilahabi
John Msimbe Simon Simbamwene
Penina Muhando

Hapatakuja kutokea Vichwa kama hivi Tz
 
Nimeanza kusoma jana nilizani imeishaa kumbe alosto inaanzaa, samahani wakuu nisaidieni kupata hadithi mbili zilizoendelezwa na hii ikiwemo memory card nimeshindwa zipata
 
Mkuu we acha tu,, wanasema mvumilivu hula mbivu ila naona sisi hata zilizooza hatuzioni ili tuache kuvumiliaa
Ahaaaaaaaaa!!
Kweli mkuu bora tupewe utaratibu kama kuna kuchangia kdgo tujue, uvumilivu unatushinda sasa ss wapenzi wa hizi kazi
 
Nimeanza kusoma jana nilizani imeishaa kumbe alosto inaanzaa, samahani wakuu nisaidieni kupata hadithi mbili zilizoendelezwa na hii ikiwemo memory card nimeshindwa zipata
Memory card cjaisoma cjui nayo utakuw imeishia katkat huko maana hawa watu wanatuonjesha tu na kutuacha katkat bila kutoa msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom