Riwaya: Mkono Wa Chuma

Riwaya: Mkono Wa Chuma

Do! Hii Riwaya, nimeifumania Leo asubuhi...nimejikuta nimeshinda kwa bed the whole day, nimesoma word to word!!! Nzuri sana...Ila kumbe haijaishaaa....daah
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 mvumilivu hula mbivuuuu 😁 nmekumbuka mpaka nyimbo ya banana zoro "subira yangu ndio iliyoniponza ngojangoja naonekana mjnga kwa sababu niliipenda story kweli😜😜yaan nimekuja mbio nikajua washaweka muendelezo kumbe holaaaaaa😎yaan nimechoka balaa bibie shunnie na madam s mkuje huku mnisadie kutoa arosto hii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mvumilivu hula mbivuuuu [emoji16] nmekumbuka mpaka nyimbo ya banana zoro "subira yangu ndio iliyoniponza ngojangoja naonekana mjnga kwa sababu niliipenda story kweli[emoji12][emoji12]yaan nimekuja mbio nikajua washaweka muendelezo kumbe holaaaaaa[emoji41]yaan nimechoka balaa bibie shunnie na madam s mkuje huku mnisadie kutoa arosto hii
Sijui BQ ndio 'kazima' mazima? Na stori ikaisha!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom