the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,612
- 7,110
- Thread starter
- #781
Hahahahahahaaa, na usivyompenda sasa
the_legend☆
the_legend☆
Yaani huko aliko na atambueHahahahahahaaa, na usivyompenda sasa
the_legend☆
Hahahaha, kwahiyo huwa unafurahi mwenyewe akiwa anadunda watu?
Bila shaka anatambua hilo fika, na siku ukikutana nae atakudhihirishia hilo
ndio...ana niishi kiasi flani..Hahahaha, kwahiyo huwa unafurahi mwenyewe akiwa anadunda watu?
the_legend☆
Inawezekana...Mimi nadhani Ray hatakufa, badala yake atakuja kumgeuka rais kwa sababu anapenda kuihusisha familia ya Ray kitu ambacho Ray mwenyewe hakipendi.
Huoni hata gari lake kaweka picha ya familia yake?
Inawezekana...
maana inaonesha ray ana tatizo na rais...
au atakufa naye...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko mbele ..minja anaweza kuja kuungana na ray..wakafanya yao!Na ndo maana mwanzoni kabisa alimwambia anakubali kufanya naye kazi kwa sababu ya familia yake, hadi rais akamwekea bomu mtoto wake.
Asante Legend
Nami nimekua nafuatilia kwa karibu mfululizo wa riwaya tamu iliyosheheni visa na mikasa ya mauaji kutisha na kutatanisha, ushushushu, usaliti, matumizi mabaya ya ya madaraka /ofisi za umma, mambo ya mapenzi kiduchu na kadhalika ya 'Mkono wa Chuma'.
Najiuliza uliza tu hivi
Waziri mpya ambaye mbali na ugeni wake tayari ameshaonesha nia ya kutaka kumuondoa boss wake (rais), ni kweli atafanikisha hilo?
Na ni kwa namna gani atatekeleza azma yake hiyo?
Ataungana na BQ, Sajenti, Ray au itakuaje?..........
wacha tuone huko mbeleni
Huyu waziri atakuja aibe ile remote ya kumwendesha ray akae nayo yeye.