Riwaya: Mkono Wa Chuma

Riwaya: Mkono Wa Chuma

Mwambieni hata sisi tusio na access na huko anakoweka tunampa mkono wa heri.
"Ahadi yangu sitoibadilisha, RIWAYA HII YA MKONO WA CHUMA LAZIMA MUISOME MPAKA IFIKE MWISHO.

ngojeni kwanza nipambane na hali yangu, mambo yatakuwa sawa tu.
Wale waungwana tuendelee kuvumiliana tu, tutaendelea tulipoishia." Nukuu toka kwa mzee mzima mwenyewe Alex Kileo
Cc:- Premij canoon, marybaby
 
Woyooooo tupo tunavumilia arosto mwambie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mbaya iliyonijia ni kwamba Ray Charles ameishtukia njama ya mtunzi kutaka kumuua hivyo amempiga mkwara kwamba atadili naye iwapo ataendelea na mipango yake Michafu.

Mpaka sasa Bwawa yule amebaki njia panda kama aendelee na hila zake za kumteketeza Ray kwa Joto la gesi au aipeleke Riwaya kivingine kukwepa kisago.
😂😂😂🤣umenishinda tabia ndugu yangu.
 
Heshima yenu wakuu. Kwanza poleni na pia samahanini sana kwa kuwaacha kimya kimya kwa muda mrefu bila taarifa rasmi. Majukumu mengine yalinibana, na hivyo sikuweza kabisa kujumuika nanyi hapa jukwaani, ila sasa nimerejea.

Riwaya ambazo nakumbuka hatukufika nazo mwisho bila shaka ni mbili, yani 'Mkono wa Chuma' na 'Mtoto wa Baba Paroko'. Kwa upande wa mkono wa chuma nimeona mkuu SPYMATE ametoa taarifa hapo juu, na ni kweli hayo ndio maelezo ya huyo Alex Kileo mwenyewe. Kabla sijapotea jukwaani nakumbuka nliwahi kumcheki kwenye simu kumuuliza kama anaiuza sehemu iliyobakia, nkiwa na lengo la kuinunua na kuileta hapa, ila alisema 'haiuzwi' na akaahidi tena kua ni lazima ataiendeleza mpaka mwisho, pindi atakapomaliza changamoto zake 'personal' zinazomkabili. Baadae ndio akaleta hiyo taarifa kama ilivyowasilishwa hapo juu.

Kwa upande wa 'Mtoto wa Baba Paroko' nlifanya pia mawasiliano na mtunzi mwenyewe Lello, akasema hiyo itaendelea kama kawaida, na wala haitakua kwenye kitabu. Isipokua kwa sasa anabanwa na zoezi la kuandaa kitabu cha 'Mimi na Rais (the President and I)', na punde atakapomalizana na hilo zoezi atapata wasaa mzuri wa kuiendeleza 'Mtoto wa Baba Paroko'.

Hivyo kwanza niwape pole ya arosto ya muda mrefu, lakini pia niwaombe tuwe wavumilivu wakati tukiendelea kusubiri muendelezo wa hizo riwaya. Tuko pamoja wakuu
 
Nilivyoona tu the_legend Nimewahi chaaaap

Asante kwa kutupa pole ya kusubiri lkn pole na wewe pia. (BQ anaendeleaje na X afande jee,?)

Basi sawa tupo tunasubiri sisi hatuna neno

nilitegemea marybaby lazima utakua wa kwanza kureply, i really missed vituko vyako. Asante kwa kunipa pole pia
Nilivyoona tu the_legend Nimewahi chaaaap

Asante kwa kutupa pole ya kusubiri lkn pole na wewe pia. (BQ anaendeleaje na X afande jee,?)

Basi sawa tupo tunasubiri sisi hatuna neno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom