Riwaya: Mkono Wa Chuma

Riwaya: Mkono Wa Chuma

leo sijamuona jamaa yangu Tom, bora hata apumzike kidogo kwanza. Shukran sana the legend, lakin BQ hafi, bado mkataba unamlinda.
 
Shukran sn,
Ila nna msiba BQ (japo sina hakika km kweli kafa)
Wakati tunangoja memory card naanda gunia la ya popcorn kutoka kwa kina Tumosa si ndio mama

Sent using Jamii Forums mobile app
memory card bado nipo kwenye mchakato wa kuitafuta. Bado sijapata episodes kama 10 za mwisho. Ntaanza kuipost baada ya kupata uhakika wa hizo episodes, ili isije ikaishia njiani. Ila nimeona wakati tunasubiri memory card, tuianze nyingine inaitwa 'Kijijini kwa bibi', mtunzi ni yule yule Alex Kileo. Hii haihusiani sana na nyingine, ila tu humu ndio tutakutana na kisa cha sajent Minja kua chongo mpaka leo. Itaanza usiku huu

the Legend☆
 
Karibu mkuu

Mbinguni hakuna bia.
 
Itakua kijijini kwa bibi kigomaa
Asnte sn boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu bado mapema sana. Ila kesho Jumatano ndio tutajua kama BQ ni mwisho wake kweli au vipi

the Legend☆
BQ hajafa ila Dr kagoma kushiriki huo mpango maana hawezi tibu ili aje kuuwawa yaani kaona Bora awazunguke tu!!!
Huko mbele kutakuwa na combination hatari ya Tom+Minja na BQ dhidi ya Rais na genge lake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom