Dizonga kaona akimbie..maana kisago cha ray hakiwezi...afu hawaivi..Nimeishia kucheka. Dokta hana siri.anaropoka tu
Usiwe na shaka kabla Ray hajamuona simu yake itaita tu au litatokea tukio ambalo litaahirisha kila kitu.Dizonga kaona akimbie..maana kisago cha ray hakiwezi...afu hawaivi..
Na akijua ray ndio raisi keshajua ivo...
Laah..kazi anayo..
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa matendo ya ray recently naona kachoka kuua, anaweza mwacha sarg minjaUsiwe na shaka kabla Ray hajamuona simu yake itaita tu au litatokea tukio ambalo litaahirisha kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ray mawazo na kufanyishwa kazi kwa lazima na raisi ndio shida yake!kwa matendo ya ray recently naona kachoka kuua, anaweza mwacha sarg minja
ngoja tuone...Usiwe na shaka kabla Ray hajamuona simu yake itaita tu au litatokea tukio ambalo litaahirisha kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema Ijumaa Labda alimaanisha ya wiki ijayo siyo ya leo!!!!!Msiwe na papala wakuu izi simuliz zinakuja tu
Ray mawazo na kufanyishwa kazi kwa lazima na raisi ndio shida yake!
Kawa mtumwa ili kulinda familia yake!
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT
Hapo mpaka ijumaaKasema Ijumaa Labda alimaanisha ya wiki ijayo siyo ya leo!!!!!
Wakuu mnisamehe bure kwa kutokutoa taarifa jana. Ni kwamba mtunzi alipata dharura akashindwa kuachia episode mpya jana, so ni mpaka Jumatatu.Kasema Ijumaa Labda alimaanisha ya wiki ijayo siyo ya leo!!!!!
asante kwa taarifaWakuu mnisamehe bure kwa kutokutoa taarifa jana. Ni kwamba mtunzi alipata dharura akashindwa kuachia episode mpya jana, so ni mpaka Jumatatu.
Kisha ratiba ya Jumatatu, Jumatano na Ijumaa itaendelea vile vile, labda kama kutakua na dharura
the Legend☆
Shunie umesikia huko?Wakuu mnisamehe bure kwa kutokutoa taarifa jana. Ni kwamba mtunzi alipata dharura akashindwa kuachia episode mpya jana, so ni mpaka Jumatatu.
Kisha ratiba ya Jumatatu, Jumatano na Ijumaa itaendelea vile vile, labda kama kutakua na dharura
the Legend☆
Hahahaa, kesho tukifuzu Afcon pale mianzini bar nje ya taifa hapatatosha