ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,360
- Thread starter
- #901
Mimi sio Shigongo na Hata Riwaya zetu Hazifanani.. unawezekana huzifahamu Riwaya za aina hii.. Nikuulize swali ushawahi kuona wapi Riwaya za Hayati BEN MTOBWA NA ELVIS MUSIBA ZIKIWA NA LUGHA TOFAUTI? TUTARUDI NA ROHO ZETU LICHA YA ASILIMIA 80 KUWA KATIKA NCHINI ZA MAGHARIBI UMEONA KUNA SEHEMU KULIKUWA NA LUGHA TOFAUTI NA KISWAHILI?We ni noma mkuu, una kipaji haswa. Ila naomba unisaidie, Canada wanaongea kiswahili? Maana naona wote wanatiririka kiswahili
TUACHE UTUMWA WA KIFIKRA