Riwaya: Mke wa Rais

Riwaya: Mke wa Rais

Kwa mwendo huu hii story itachukua miaka kama isdingo
 
Mkuu shikamoo kwa kitu kwa kitu cha maana nimekumbuka mbali sana TAFRIJA YA DAMU, KUFA NA KUPONA,JE TUTARUDI NA ROHO ZETU? NA SALAM TOKA KUZIMU. Uandishi wako unaonyesha wewe ndio umekuja kuikomboa tasnia hii ya riwaya za kipelelezi na ujasusi wa kiwango cha kusisimua, mkuu ukitoa kitabu rudi hapa hapa utuambie ili tujipatie nakala zetu mapema
 
Umesha Soma Paniela?
 
Ahsante sana mkuu, umenipa nguvu na hamasa ya kusonga mbele. watu hawatambui kuwa hii kitu si copy na kupest. Hii inatoka kichwani kwangu na kuletwa hapa moja kwa moja. anayeujua ujasusi hasa hawezi kuondoka hapa wala kuipuuza hii. Haifanani na hizo zaidi ya zile za MUSIBA NA BEN MTOBWA. tuendelee mkuu
 
Heeeee
Kumbe Mtunz ni wewe Mwenyewe
BIG UP KWAKO MKUU
 
We jamaa ni hatari sana,ni binadamu wachache sana wanaoweza kuandika Live,nikiri hata hao wazee wetu sidhani kama wafikia hata hii ingawa bilashaka hawakufanya kwa sababu ya teknolojia,wewe ni hazina kubwa kwa nchi hii,mwanzoni nilidhani unacopy riwaya ya mtu
 
Mie sio mwandishi ni mpenzi ninakuomba uongeze matukio Yale yanayomuweka msomaji jiapanda akizania itakuwa hivi lakini mwisho wa scene inakuwa vile na kumfanya msomaji ashushe pumzi zinto

Back
Top Bottom