Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Ni mm ibrahivi hapo kwenye avatar ni wewe?
Ni mm ibrahivi hapo kwenye avatar ni wewe?
Hahahhh sio mm banaNjoo PM tufahamiane mrembo
We ibra sifananii nae ata kimoja [emoji28]hata kama sio wewe mimi nakuita uje mara moja
Bana ebu tuwekee hadithi achana na avatar fake [emoji28]acha uongo kuna kimoja kinafanana
hembu njoo mara moja binti
Penzi kitovu cha uzembe mkuu angalia story isije kuishia hapa tusijue mohamed na jenifer waliishia wap uko canadahata kama sio wewe mimi nakuita uje mara moja
naweka akili sawa wakuu ili nilete nyingine
hakuna shaka
Aiseee hukumu yake imekuwaje?Alitolewa kwa dhamana,sasa ndo ameshahukumiwa
HahahhhAlitolewa kwa dhamana,sasa ndo ameshahukumiwa