Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,869
Aisee bado ata sijui lini ntaimaliza nipo page ya 11Vipi Umemaliza ilee riwaya kuleee

Aisee bado ata sijui lini ntaimaliza nipo page ya 11Vipi Umemaliza ilee riwaya kuleee

Acha Mambo yako shunie usisahau mbachao kwa msala upitaoo Khaaaa ushanibooaaIbra pole kwa kubanwa mm sasa hivi ata sikusumbui kuna sehem nasoma riwaya nyingine
Pole ndo hapa hupigi kelele looh ni mwendo wa subscribe tuuAisee bado ata sijui lini ntaimaliza nipo page ya 11![]()
![]()
Jitahidi umalize twende Sawa usiruke hata kipengele kimojaaa ni nooomaAisee bado ata sijui lini ntaimaliza nipo page ya 11![]()
![]()
Simpigii tena kelele ibra atanisamehe tu tena nafurahi akibanwaPole ndo hapa hupigi kelele looh ni mwendo wa subscribe tuu
HahahhhhAcha Mambo yako shunie usisahau mbachao kwa msala upitaoo Khaaaa ushanibooaa
Siwezi rukaJitahidi umalize twende Sawa usiruke hata kipengele kimojaaa ni noooma
Ndo nakupa vidonge vyakooHahahhhh
Ww kenuaa tuuHahahhhh
Sawa nipe tu acha niende kuleNdo nakupa vidonge vyakoo
So usiharibuu hii nyumba yetuuuSawa nipe tu acha niende kule
Akija Ibra87 sikustuii
Ibra mbona umepanic jombaa me nimeongea kiutani mwanaume hutakiw kupanic ivyo lol nisamehe kwa kukutania kumbe hupendkuna zaidi ya watu 250000 wananisubiri na kuvumilia mkuu kwahiyo una uhuru wa kuchagua kwani hataa mwanzo sidhani kama nilikuita
Poaa usijali Mkuu dada yangu Shuniee alikuwa anakutania anapenda utani huyoo ni balaaah Msamehe bureendani ya saa limoja lijalo
Ibra87 huwa hapanic kwa kuusema ukweli, nina watu wengi zaidi wanaonivumilia na hawachoki kuniuliza. Nilichoongea nadhani ni sahihi kwa kuwa nadhani hujui stori zinavyoandaliwa. Miye si copy na kupest naandika mwenyewe kwa hiyo nitofauti na nyingineIbra mbona umepanic jombaa me nimeongea kiutani mwanaume hutakiw kupanic ivyo lol nisamehe kwa kukutania kumbe hupend
Nimekoma mm acha niwe mkavu tuPoaa usijali Mkuu dada yangu Shuniee alikuwa anakutania anapenda utani huyoo ni balaaah Msamehe buree
Ibra pole kwa kubanwa mm sasa hivi ata sikusumbui kuna sehem nasoma riwaya nyingine