Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,806
Wasiwasi wangu tu dolo na arosto nitakayoteseka nayo
Unamaliza utamuHapana mwadi hakupita nae mwadi alikufa kifo cha kuchomwa kisu kabla ya mambo hayajaiva ila TETE ndio alikuja kumaliza huyu alikuwa bibi wa Muteba mmoja kati ya wamiliki wa garages.
Pole pana mtu alitaka maelezo kidogo ila kwa heshima yako na ushauri wako nimesitisha ili utamu nisiumalize.Unamaliza utamu
Sa ukose hapa uende wapi sasa mkuu
Tulia mkuu acha kujifanya unajua.kumbe hujui.Sasa sibora uache kama unajua huwezi maliza kuliko kutuzingua
sawa mkuu, usihofu nikikipata nitakwambia.Nashukuru mkuu
Wife kaniandikia kama kapata vitabu!Ww ni mtu wa ahadi sio wa longo longo!
Sasa pls nitafutie hiki cha Kikosi cha Kisasi ninakihitaji sana pia!
By the way umemuona mke wangu alivyo mrembo?
Hahahaha aseee nimemuona hongera sana kwa kuchagua shemeji wa maana.Nashukuru mkuu
Wife kaniandikia kama kapata vitabu!Ww ni mtu wa ahadi sio wa longo longo!
Sasa pls nitafutie hiki cha Kikosi cha Kisasi ninakihitaji sana pia!
By the way umemuona mke wangu alivyo mrembo?
Yan...Iddy njoo basi tupe vitu roho zitulieJamaa siku ya pili sasa hamna andiko
Katuyeyusha na yy au?

Musiba ni zaidi ya talented. ..pia walikuwepo Eddy Ganzel na kitabu cha riwaya " Kijasho Chembamba " na Katallambula na kitabu cha riwaya "Buriani ", hawa watunzi ukweli walikuwa wanafahamu jinsi ya kuteka mioyo ya wasomaji wao, ilikuwa ni zaidi ya kuangalia kwenye TVUzuri wa riwaya za Musiba ni kwamba kwenye issue za mapambano ni mapambano kweli,kwenye mapenzi ni mapenzi hasa yaani utadhani unatazama mubaashara!
huyo mwadi lazima apite nae
Walikuwapo pia kina Hammie Rajab na vitabu vyake kama Sanda ya jambazi na Kamlete akibisha mripue.Kulikuwa na Simbamwene na vitabu vyake mauaji lodging,muuaji ni nani?,Pesa zako zinanuka.Huyu ndiye mwandishi aliyetunga riwaya nyingi sana hapa Tanzania.Hata baba yake Banana,Zahir Ali Zorro naye aliandika riwaya mbili kali Unyama wa mafia part 1&2 na Kabwe makanika.Enzi hizo kuna watu mitaani walijiita Willy Gamba,Inspector Forg,Kachelo Haji,Joram Kiango,Suresh Kanji,Elungata,Baruni mwasi,Mzee Ole nk.Yaani ilikuwa raha sana.Musiba ni zaidi ya talented. ..pia walikuwepo Eddy Ganzel na kitabu cha riwaya " Kijasho Chembamba " na Katallambula na kitabu cha riwaya "Buriani ", hawa watunzi ukweli walikuwa wanafahamu jinsi ya kuteka mioyo ya wasomaji wao, ilikuwa ni zaidi ya kuangalia kwenye TV
Mkuu wee acha tu kuna kitabu kilikuwa pia kizuri sana kiliitwa, "MIKONONI MWA MAUTI" bahati mbaya simkumbuki mtunzi wake...hivi vitabu watunzi walikuwa na creativity ya hali ya juu sana.Walikuwapo pia kina Hammie Rajab na vitabu vyake kama Sanda ya jambazi na Kamlete akibisha mripue.Kulikuwa na Simbamwene na vitabu vyake mauaji lodging,muuaji ni nani?,Pesa zako zinanuka.Huyu ndiye mwandishi aliyetunga riwaya nyingi sana hapa Tanzania.Hata baba yake Banana,Zahir Ali Zorro naye aliandika riwaya mbili kali Unyama wa mafia part 1&2 na Kabwe makanika.Enzi hizo kuna watu mitaani walijiita Willy Gamba,Inspector Forg,Kachelo Haji,Joram Kiango,Suresh Kanji,Elungata,Baruni mwasi,Mzee Ole nk.Yaani ilikuwa raha sana.