chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,773
- 3,537
Salama kabisa mkuu.Wakuu salama?
Tupo hapa na 'alosto' ya hatari kabisa ukichanganya na weekend hii basi dah!!.
Salama kabisa mkuu.Wakuu salama?
Kwa hamu na gamuTunasubiri muendelezo kwa hamu baadhi yetu tulivisoma vitabu hivi waqt uleeeee lakini ndio hivyo tena pana baadhi ya matukio tumeyasahau sasa kujikumbusha sio ubaya.
Kabisa kabisa bila shaka.Kwa hamu na gamu
Kwa sababu wanaziiba usiwe unazisoma mkuu mbona mnakuwa mna maneno ya kukarahisha hivyoTatizo riwaya zenu huwa haziishi,mnakoziiba huko sijui huwa wanawashtukia?




Lege umeanza kuweka hadharani ID za watu au kakuruhusuHata msihangaike.humu kuna mwanaye ndiye anaye endeleza shughuli hiyo anaitwa neema mtobwa. Humu jf anatumia ID ya nameless girl
Asante Lege. Kwa hyo ukienda hapa TPH utavikuta vitabu vya Musiba au?? Au ni kubahatisha??? Nitajaribu kwenda wiki hii aisee ndugu.Panaitwa TPH hapo ndio chaka la vitabu.cha kufurahisha vitabu vya kibongo vinachapwa kenye nakuja kuuzwa bongo watu wanapiga mpunga tuu.wabongo tumelala watunzi wetu kama wakina msiba hawaachi misingi basi watu wanafaidi tuu kazi zao
Usemacho ni kweli mkuu mimi nilikuwa nacho na nimedhulumiwa hivi hiviMkuu hicho kitabu ni kama lupia aisee ukiwa nacho kinapotea kimaajabu ajabu sana sijui kwa nini
Unaweza kuvipata lkn vya msiba mitaa ya k/koo vipo kibao mbona kwa wauza magazeti na hata ubungo nishawahi viona. Lkn sio cha kikosi cha kisasi.Asante Lege. Kwa hyo ukienda hapa TPH utavikuta vitabu vya Musiba au?? Au ni kubahatisha??? Nitajaribu kwenda wiki hii aisee ndugu.
Acha tu,iddy kibajaji na king of zodiac wametuweza kweliSalama kabisa mkuu.
Tupo hapa na 'alosto' ya hatari kabisa ukichanganya na weekend hii basi dah!!.
asante sana mkuuShunie Avatar yako nimeipenda
Dawa ni kuwa mpole tu maana vya bure wakati mwingine vinatesaHivi dawa ya kuacha kusoma hizi hadithi zinazoletwa him jf ni ipi?
Kwani nimegundua kuna watu wanazileta humu ili kuwatesa wenzao
Ni kwel mkuu, ila nayo imeishia njiani imeniacha arostoJamani hizi Arosto anazotusababishia Kibodaboda na mwenzake so za mchezo sasa ili kuzipooza kuna riwaya mpya imeanza inayohusisha ujasusi nimeona niwashirikishe wadau wangu, wengine nimeshawatag tayari
Ingia hapa Riwaya : Noti Bandia....!! Mwanzo-mwisho. Huku hakuna Arosto, Ni DOZI tu hadi mlewe mmwage udenda...!!!