Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Daaah
Gamba kapiga Lolita Dar
Gamba kapiga yule wa ofisini Lusaka
Kapiga Mwadi
Kapiga Tete
Bado Ntumba
Jamaa hafai hata kidogo
Ntumba hakupata bahty hiyo kwa kumbukumbu zangu ila tete ni tungo tete kweli.Vimwana havijawahi kumuangusha gamba
 
Kuna uongo wa A.E. Musiba na Ben Mtobwa huwa siukubali. Tokea nizaliwe sijawahi kusikia MTU wa usalama ni maarufu. Sijui walitoa wapi hiyo idea ya kuwafanya wapelezi ni vipenzi vya jamii wakati kimsingi hata hatuijui TISS
 
Ahaa mkuu....!Ndio maana ikaitwa riwaya.Siku zote Willy Gamba anafanya shughuli zake kisiri.Na hata ukisoma kitabu cha Njama Willy hakutaka kufanya kazi zake ki uwazi hata wakabishana na Chifu.Ndio maana akaruhusiwa kuwatumia Sherif na Veronica waandishi wa habari akipeleleza kupitia migongoni mwao.Mwenyewe alisema kwamba kama akijulikana basi kundi la watu wanaompenda litakuwa likimfuata nyuma mara akatizapo mitaani kwani watanzania wanajua kuwa wana mpelelezi hodari lakini hawajui kama ni yeye Willy Gamba.Hata mrembo Zabibu alikuwa haamini kama kuna mtu kama Gamba hadi namna alivyookolewa ndipo akaamini.So sikuzote usiri ulizingatiwa isipokuwa kwetu tu wasomaji.
 
Maisha yanakwenda kwa kasi,hakuna cha kutuliza stress zaidi ya simulizi kama hizi hazichoshi,twende mkuu
 
Kuna uongo wa A.E. Musiba na Ben Mtobwa huwa siukubali. Tokea nizaliwe sijawahi kusikia MTU wa usalama ni maarufu. Sijui walitoa wapi hiyo idea ya kuwafanya wapelezi ni vipenzi vya jamii wakati kimsingi hata hatuijui TISS
Ndiyo, ni maarufu. Unaweza usielewe ni maarufu katika muktadha gani.

Willy Gamba katika Riwaya hii ya KK, hakuwa maarufu kama mwanausalama. Bali alikuwa maarufu kwa biashara zake, lakini kwa upande wa pili ni Mwanausalama.

Wewe unaweza usimjue mtu, lakini wengine wakawa wanamfahamu sana kutokana na kushabihiana kwao katika majukumu. Kuna wanausalama wamefanya mambo makubwa sana, wewe kama wewe huwezi kuwajua lakini waliopo kwenye idara wanawafahamu vema sana. Na hata raia wengine, huenda wanafahamu lakini siyo wa kuwekwa hadharani.

Kwa hiyo naweza kusema, kwa upande wa jamii atakuwa maarufu kwa jambo fulani. Lakini huko kwao, ni maarufu kwa mambo yao.
 
No, kwa mfano vitabu vyote vinaeleza kwamba willy Gamba ni mpelelezi maarufu sana kwa kiwango ambacho wananchi wanajivunia. Ila tu, hawamjui huyo willy Gamba ni yupi. The same to Joram Kiango. Siamini wala sijawahi kusikia famous Agents wa CIA, BOSS, KGB, MOSAD nje ya wadau wa mambo hayo.
 
Back
Top Bottom