Enzi hizo kuna rafiki yangu alikuwa akipata ujasiri wa ajabu mara akishamsoma Willy Gamba!Tulikuwa tunatoka mtaani kwetu na kwenda kuwachokoza watoto wa mitaa mingine.Alikuwa akipenda kuyatumia maneno haya ambayo nadhani yapo kwenye kitabu cha Njama,'Iiiiiij...Aisee Mirambo mjukuu wa Chaka mwana wa Zulu fanya kazi yako."
Tulipigwa siku hiyo sina hamu...Vitabu vya Musiba vina kaulevi flani hivi...ukikishika hutaki kukiachia.


