Riwaya: Chaguo la Neema ... Ng'ombe wa Mahari

Sasa ndo nini kuikatisha. Au simu ya mchina? Manake hizo kurasa 370 anzoongelea Companero sizioni. Nimemabualia sijui 4?

hehe vipi una mswaki wa namba nini? mimi nina kurasa 37 tu hiyo 370 ni madolali ya uhariri. sasa ndio naingia sura ya pili (ukurasa wa 10) ila imeshaanza kunikumbusha ile riwaya ya darisalaam usiku na ile ya fiela's child kutoka kule sauzi!
 
Yaani wewe hizi za kujumlisha na kutoa nazo unaita namba? Are you a std 7 graduate? Manake kuna baba anajisifia ni form four graduate and he is proud of it. Hayo madolari yamenichanganya tatizo la kufulia, naona namba kubwa tu hapa, lol.

Fiela's child sikumbuki kuisoma. Maybe coz nasomea kwenye simu pages zimepotea.
hehe vipi una mswaki wa namba nini? mimi nina kurasa 37 tu hiyo 370 ni madolali ya uhariri. sasa ndio naingia sura ya pili (ukurasa wa 10) ila imeshaanza kunikumbusha ile riwaya ya darisalaam usiku na ile ya fiela's child kutoka kule sauzi!
 
Companero... tutazungumza ila si unajua kuna double deep recession.. will pay 10 cents each page... deal? Maana naweza kuongeza pages nyingi tu..
 
hehe vipi una mswaki wa namba nini? mimi nina kurasa 37 tu hiyo 370 ni madolali ya uhariri. sasa ndio naingia sura ya pili (ukurasa wa 10) ila imeshaanza kunikumbusha ile riwaya ya darisalaam usiku na ile ya fiela's child kutoka kule sauzi!

Zamani walikuwa wanasema kuna watu walikuwa wanaogopa umande... lol
 
Hmmm...hivi vitabu vya Mwanakijiji vitanifilisi sasa. Pale duka la Scholastic Mlimani city yule mama anayeuza duka keshanijua hadi jina sasa maana kila nikienda pale nanunua Majeruhi wa Mapenzi. Sasa hiki nacho tena....daaaah!
 
du, yule mama au yule dada anayekaa pale pembeni?
 
Back
Top Bottom