Am not convinced kama wewe na Kaunga mmefuatilia vizuri ile thread, nilichokisisitiza mule nilishakirudia hapo juu wakati namjibu Kaunga...kama kuna kitu tofauti nilisema kule ki'copy' uki'paste' hapa...na useme for this 'Riwa you sound GAY'!...As a Doctor, I am obliged to give certain, non-biased and up-to-date information and clarifications pale ninapoona ukweli unapindishwa...na ndicho nilichokifanya. Mifano yangu ya kwenye Biblia ilikuwa inasisitiza kuwa hiki si kitu kilichoanza majuzi na kuwa mimi kama Riwa nikitumia taaluma yangu kukemea au kudanganya basi 'washiriki' wa anal sex wataacha...and thats the fact, scientifically! Na kuna scientific evidences of how to do anal sex safe, MziziMkavu alizipost (he is not called GAY, is he?)...sasa kwa nini niitwe GAY nanyi muone ni sawa sababu tu I shared scientific evidences that I happen to know!?