Riwa: NImekwazika kupita kiasi..

Riwa: NImekwazika kupita kiasi..

Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa! (Its not a laughing matter and im ashamed of my self!) Nimejaribu kutafakari lengo la muuliza swali ila nimeshindwa!!!!!!!! Itakuwa tu mtu wa Mombasa huyu si buree aiseeeeeeee!

Hilo thread sijalisoma, thread kama hizo nazikwepaga coz nahisi dhambi dhambi kuzisoma!!!!! Au zitaniletea gundu! Speak of the Devil and he will appear!
 
So the guy got curios na kwa maoni yangu hajafanya kosa lolote kutaka kujua sex preferense yako. Na nafikiri ni mstaarabu sana ndio maana akaluandikia PM badala ya kufaidisha watu, hivyo sioni sababu ya wewe kuwa offended after all si maumbile tu ambayo mnasema mtu kaumbwa nayo!

Kaunga...ukirudia ule uzi utanielewa zaidi, kwani nadhani nawe uliosoma ukiwa na mtazamo wako! Nilichokuwa najaribu kusema mule ni kuwa...tiGO ina madhara yake, basi yajadiliwe hayo...tusitumie madhara ya 'kubuni' amabayo yanapelekea watu kunyanyapaliwa wakati si kweli. Madhara hayo ya kubuni ni kuziba mkojo kwa wanaume na kunya wakati wa kuzaa kwa wanawake. Mada nzima nilistick to that!

Kuna walioniuliza maswali kuwa kama nasupport au sisupport anala sex...na jibu langu lilikuwa msimamo wangu kuhusu anal sex hautamfanya mlaji/mliwa tiGO kuacha..nikasema dhahiri kuwa washiriki wa anal sex hawataacha eti kwa kuwa Riwa kasema, au MziziMkavu katishia watu na madhara yake ya kubuni....zaidi inaongeza unyanyapaa ambao kwa experience yangu kama Daktari nimeushuhudia..pamoja na effect zake kwenye ndoa za watu!

Does that qualify me to be called a GAY?!
 
Mkuu hujaitwa gay, ndo maana akakuuliza pia kama unakula tigo

Ukieleza kitu hadharani unatakiwa uielewe hadhira yako, wewe ulishindwa Hilo

Kwenye thread umezungumzia kuwa tigo haina madhara [yoyote] kisayansi na ukakataa kutoa msimamo wako binafsi kwa sababu ati "kauli yako au mzizimkavu haiwezi kumbadilisha mtu"

Sasa kama ni maumbule tu na hakuna tatizo kisayansi kwa nini asiombe ushirikiano wako kulivuta suali mbele wakati umekataa kutoka msimamo hadharani?

Sioni tatizo hapo
 
Kuna uzi ulianzishwa kuhusu 'athari za tiGO'...nami nikachangia kutokana na taaluma na experience yangu nikihudumia waginjwa mbali mbali. Nikiwa na nia ya kutoa ukweli na kuelimisha jamii, naamini nina deni hilo kwa waTanzania kwani nilipata bahati/fursa ya kutumia kodi zao ili kupata taaluma hii. Na nimekuwa nikitoa elimu/ushuri/ufafanuzi wa masuala mbali mbali yahusuyo taaluma yangu si hapa JF tu, na forum nyingine mbali mbali kwa kuzingatia ukweli wa kisayansi. Kwenye thread ile ya 'athari za tiGO' nilikuwa nikifanya hilo.

Nimekwazika kukuta hii PM kwenye inbox yangu:

"habar mkuu Riwa. Aisee kwanza nakucfu ulivyo post ktk hyo thread juu. Ila nikuulize ww unaliwa au kula tigo? Cna nia mbaya isitoshe hatufahaamiani humu jf. "

Angeniuliza swali hili kwenye ile thread nisingechukulia kama ni kitu cha kukera au kunidhalilisha, lakini ameniPM, mtu huyu ana nia gani?...nimechukia!
aisee nimejikuta nacheka.......mkuu huyo hujamuelewa huyo jamaa ni punga ndio zao hao wakiwa wana approach mawindo yao....msukumie Fidel80 anashughulika nae....BTW mkuru Riwa unaliwa/kula TiGO?
 
Riwa pole kwa maswahibu hayo. Ila ujue kitu kimoja, hao unaowaona mtaani ndo wamo humu JF.
Hivi ulishawahi kwenda sehemu ya ibada ambapo watu wote mpo kimya mnatafakari halafu mtu mmoja akacheka from no where? Hii ndo dunia, don't take it serious, take it easy na endelea kutoa hiyo elimu/ushauri wengi tutafaidika.
 
Does that qualify me to be called a GAY?!
arifu Riwa jamaa kauliza swali zuri tu....Kuwa au DR ndio excuse wa kutokuwa gay.....ukienda St,Petersburg au Moscow urusi kule kuna mijamaa mibaunsa huwezi kuamini imejazia misuli shababi ila ni gays...anakufuata kabisa anakuuliza kama u gay au la? so wewe mjibu huko huko mwambie status yako na walka usikasirike
 
Mwanaume mwenzako anapokuuliza unakula au unaliwa tiGO...is automatically saying 'you are GAY'! Ule tiGO za wanaume wenzako, au uliwe...its GAY!
U DR wako umeupatia kanisani naona.......au hujakutana na hao watu.....
 
Ungemdadisi kwanza huko huko PM kisha ungesikitika au ungemwelimisha nae.
 
aisee nimejikuta nacheka.......mkuu huyo hujamuelewa huyo jamaa ni punga ndio zao hao wakiwa wana approach mawindo yao....msukumie Fidel80 anashughulika nae....BTW mkuru Riwa unaliwa/kula TiGO?

Hahahaha mkuu Yo Yo ndo maana nimemwambia angeambaa nae PM kama toto si riziki wadau tupo Mungu katuumba kwa ajili ya kuzibua mifereji ya maji taka
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SMU
Mimi nikupe pole kwa kuwa umekwazika kwa kuulizwa swali hilo ila pia unapo interact na jamii kubwa ya watu tarajia mitazamo na uelewa tofauti, unatakiwa uelewe hilo ili usiwe offended unapokutana navyo.BTW isikuvunje moyo ukaacha ku share elimu yako na wengine wanaofaidika nayo
 
Mkuu hujaitwa gay, ndo maana akakuuliza pia kama unakula tigo

Ukieleza kitu hadharani unatakiwa uielewe hadhira yako, wewe ulishindwa Hilo

Kwenye thread umezungumzia kuwa tigo haina madhara [yoyote] kisayansi na ukakataa kutoa msimamo wako binafsi kwa sababu ati "kauli yako au mzizimkavu haiwezi kumbadilisha mtu"

Sasa kama ni maumbule tu na hakuna tatizo kisayansi kwa nini asiombe ushirikiano wako kulivuta suali mbele wakati umekataa kutoka msimamo hadharani?

Sioni tatizo hapo

Mleta mada ana jihukumu mwenyewe
 
Pole sana dr. Imekuwa ni kawaida watu.kupersonalise mambo ambayo tunachangia humu. Mambo mwngi tunayajua kutokana na kukutana na mambo at personal level, jamii na hata proffessional. Sio kila tunachochangia ni personal experience.
Its good umereport. Pole, usichoke kutusaidia na kutuelimisha. Infact kama utakumbuka niliwahi kukuuliza wewe na Roulette kuhusu kujiswafi, mlinisaidia sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Riwa nimefuatilia kwa MAKINI ile thread na hii habari ya PM yako but bado sijaona kinachofanya UKWAZIKE kiasi hicho ukichukulia tena mtu alikuPM?...Kama mtu atacomment hapa for the sake ya hii sredi yako bila kuwa na back up ya ile thread ataona kuwa UMEDHALILISHWA but kama atafuatilia zaidi ofcourse ataona that PM worth what you narrated there...nadhani Kaunga kaliweka vizuri pia!!

Ukweli ni kwamba issues za 'Tigo' zinaanza kuonekana ni mambo ya kawaida na wanaume wanaona it's their right to have it from their wives..Katika controversial kama hii ambamo 'norms' na 'dini' zinakuwa violated...you as a doctor lazima uwe very tactical kuelezea the good side of it na kiukweli lazima pia utegemee awkward questions and PMs from anti-tigo and pro-tigo!!..Bado nakusihi kutake it for granted!!
 
arifu Riwa jamaa kauliza swali zuri tu....Kuwa au DR ndio excuse wa kutokuwa gay.....ukienda St,Petersburg au Moscow urusi kule kuna mijamaa mibaunsa huwezi kuamini imejazia misuli shababi ila ni gays...anakufuata kabisa anakuuliza kama u gay au la? so wewe mjibu huko huko mwambie status yako na walka usikasirike

Ingekuwa from no where mtu anakuPM kukuliza hivyo..isingenikwaza kihivyo. Lakini kama ni baada ya mimi kutoa ufafanuzi kuhusu issue hiyo kutokana na taaluma yangu...mtu anasuggest am GAY, inaudhi! Ina maana next time nikichangia same issue basi niwe biased kwa kuwa STRAIGHT side, nitafafanuaje ukweli kama niko biased?
 
Kuna uzi ulianzishwa kuhusu 'athari za tiGO'...nami nikachangia kutokana na taaluma na experience yangu nikihudumia waginjwa mbali mbali. Nikiwa na nia ya kutoa ukweli na kuelimisha jamii, naamini nina deni hilo kwa waTanzania kwani nilipata bahati/fursa ya kutumia kodi zao ili kupata taaluma hii. Na nimekuwa nikitoa elimu/ushuri/ufafanuzi wa masuala mbali mbali yahusuyo taaluma yangu si hapa JF tu, na forum nyingine mbali mbali kwa kuzingatia ukweli wa kisayansi. Kwenye thread ile ya 'athari za tiGO' nilikuwa nikifanya hilo.

Nimekwazika kukuta hii PM kwenye inbox yangu:

"habar mkuu Riwa. Aisee kwanza nakucfu ulivyo post ktk hyo thread juu. Ila nikuulize ww unaliwa au kula tigo? Cna nia mbaya isitoshe hatufahaamiani humu jf. "

Angeniuliza swali hili kwenye ile thread nisingechukulia kama ni kitu cha kukera au kunidhalilisha, lakini ameniPM, mtu huyu ana nia gani?...nimechukia!
pole dr, potezea tuu huyo.

Riwa zamani sikujua kauli hii "elimu ni siasa". Au kila kitu ni politiki mpaka later in life. Ndio maana mapadre wanakuwa careful nini wanachofundisha, na ndio maana waumini hata kama tuna maPHD kwenye fields zetu bado twaitwa laymen na kanisa.

Elimu uliyoitoa kule (niliisoma bila kucomment), haiwafai watu wote kwani inaweza chochea zaidi, na nashukuru umepata dose ya elimu yako. Mtoa elimu anachagua nini cha kufindisha akiwa na objective tayari. Sasa obejective yako ilikuwa watu waelewe na wafanye informed decision kama ulivyoelimishwa na maliberal waliofanya hizo tafiti na kuandika mavolume (BTW sijui humanity inafaidika nini kujua kuwa TIGO haina madhara, any way siko huko).

So the guy got curios na kwa maoni yangu hajafanya kosa lolote kutaka kujua sex preferense yako. Na nafikiri ni mstaarabu sana ndio maana akaluandikia PM badala ya kufaidisha watu, hivyo sioni sababu ya wewe kuwa offended after all si maumbile tu ambayo mnasema mtu kaumbwa nayo!
no dada, elimu sio siasa. riwa alitoa professional opinion maana ule uzi ulijaa 'maneno ya kijiweni', lakini hakuchochea wala kushauri mtu ajaribu tigo. naomba kuuliza mnachukia tigo kwa vile "maandiko yanasema" au "hamuwezi kuifanya safely" sioni mtu akijaribu kwa vile eti riwa kasema haina madhara. afterall 3some/BDSM/group sex haina madhara lakini wengi hatujaribu because of hulka yetu sio kwa vile hatuwezi
 
Mkuu Riwa nimefuatilia kwa MAKINI ile thread na hii habari ya PM yako but bado sijaona kinachofanya UKWAZIKE kiasi hicho ukichukulia tena mtu alikuPM?...Kama mtu atacomment hapa for the sake ya hii sredi yako bila kuwa na back up ya ile thread ataona kuwa UMEDHALILISHWA but kama atafuatilia zaidi ofcourse ataona that PM worth what you narrated there...nadhani Kaunga kaliweka vizuri pia!!

Ukweli ni kwamba issues za 'Tigo' zinaanza kuonekana ni mambo ya kawaida na wanaume wanaona it's their right to have it from their wives..Katika controversial kama hii ambamo 'norms' na 'dini' zinakuwa violated...you as a doctor lazima uwe very tactical kuelezea the good side of it na kiukweli lazima pia utegemee awkward questions and PMs from anti-tigo!!..Bado nakusihi kutake it for granted!!

Am not convinced kama wewe na Kaunga mmefuatilia vizuri ile thread, nilichokisisitiza mule nilishakirudia hapo juu wakati namjibu Kaunga...kama kuna kitu tofauti nilisema kule ki'copy' uki'paste' hapa...na useme for this 'Riwa you sound GAY'!

As a Doctor, I am obliged to give certain, non-biased and up-to-date information and clarifications pale ninapoona ukweli unapindishwa...na ndicho nilichokifanya. Mifano yangu ya kwenye Biblia ilikuwa inasisitiza kuwa hiki si kitu kilichoanza majuzi na kuwa mimi kama Riwa nikitumia taaluma yangu kukemea au kudanganya basi 'washiriki' wa anal sex wataacha...and thats the fact, scientifically! Na kuna scientific evidences of how to do anal sex safe, MziziMkavu alizipost (he is not called GAY, is he?)...sasa kwa nini niitwe GAY nanyi muone ni sawa sababu tu I shared scientific evidences that I happen to know!?
 
pole dr, potezea tuu huyo.

no dada, elimu sio siasa. riwa alitoa professional opinion maana ule uzi ulijaa 'maneno ya kijiweni', lakini hakuchochea wala kushauri mtu ajaribu tigo. naomba kuuliza mnachukia tigo kwa vile "maandiko yanasema" au "hamuwezi kuifanya safely" sioni mtu akijaribu kwa vile eti riwa kasema haina madhara. afterall 3some/BDSM/group sex haina madhara lakini wengi hatujaribu because of hulka yetu sio kwa vile hatuwezi

Unapochagua (kumbuka una machaguo) nini cha kumfundisha mtu una malengo tayari na hiyo ni siasa dogo!

Wazungu wakiongozwa na wamisionary walitufundisha ustaarabu wa kizungu, inatucost hadi leo; waarabu walitufundisha ustaarabu wa kiarabu unatucost mpaka sasa. lakini katika hao hakuna aliyetufundisha kujitegemea kama mzazi alivyokuwa anamfundisha mtoto kusurvive. Wewe unavyomfundisha mtoto wa kiume kuwa asifanye kazi au kucheza michezo ya kike ni siasa pia.
 
Kuna uzi ulianzishwa kuhusu 'athari za tiGO'...nami nikachangia kutokana na taaluma na experience yangu nikihudumia waginjwa mbali mbali. Nikiwa na nia ya kutoa ukweli na kuelimisha jamii, naamini nina deni hilo kwa waTanzania kwani nilipata bahati/fursa ya kutumia kodi zao ili kupata taaluma hii. Na nimekuwa nikitoa elimu/ushuri/ufafanuzi wa masuala mbali mbali yahusuyo taaluma yangu si hapa JF tu, na forum nyingine mbali mbali kwa kuzingatia ukweli wa kisayansi. Kwenye thread ile ya 'athari za tiGO' nilikuwa nikifanya hilo.

Nimekwazika kukuta hii PM kwenye inbox yangu:

"habar mkuu Riwa. Aisee kwanza nakucfu ulivyo post ktk hyo thread juu. Ila nikuulize ww unaliwa au kula tigo? Cna nia mbaya isitoshe hatufahaamiani humu jf. "

Angeniuliza swali hili kwenye ile thread nisingechukulia kama ni kitu cha kukera au kunidhalilisha, lakini ameniPM, mtu huyu ana nia gani?...nimechukia!

Sijakuelewa eti, hakuna kitu cha kukasirikia hapo mkuu ni swali la kawaida mbona tena aliyeandika emeomba msamaha kiungwana kwamba asije kukwaza. unakasirika nini? mie sijaelewa
 
Unapochagua (kumbuka una machaguo) nini cha kumfundisha mtu una malengo tayari na hiyo ni siasa dogo!

Kaunga....sikufundisha mtu kwenye ile thread, nilitoa clarifications dhidi ya athari za 'UONGO' za tiGO...sikujua kuwa nilipaswa kuufumbia macho uongo ule ili niisiitwe gay! Anyway, I have learned my lesson..and thank you kwa msimamo wako.
 
Back
Top Bottom