Hello Wadau,
Naomba tusaidiane kupaza sauti kuhusu suala hili.
Leo nimefika Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) kwa ajili ya kupata huduma. Nilifika ghorofa ya tatu, nikakutana na afisa mmoja wa RITA ambaye sikufanikiwa kupata jina lake. Nilimuuliza kuhusu huduma...
Nimefika leo, Alhamisi, kufuatilia marekebisho ya cheti changu ili niweze kupata cheti kipya. Hata hivyo, nimeelezwa kuwa huduma imesimama kutokana na kukosekana kwa umeme, ambapo inadaiwa transformer imeharibika.
Tulijaribu kupendekeza kutumia jenereta lililopo kwa kuchangia gharama za mafuta...
Anonymous
Thread
hudumahudumazarita
kuhusu
rita
taifa
temeke
uwanja
uwanja wa taifa
Habari wanajukwaa.
Kuna changamoto tunapitia katika uhakiki wavyeti vya kuzaliwa kupitia RITA.
Wengi tupo katika mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya juu lakini kikwazo kimekuwa kwa RITA.
Mimi binafsi nina wiki ya 2 sasa kuelekea ya 3 cheti hakijahakikiwa na nimeshalipia.
Mbaya zaidi hata...
hudumazarita
kuhakiki vyeti
mikopo elimu ya juu
mkopo wa chuo
ritarita kuhakiki vyeti
rita kuhakiki vyeti vya kuzaliwa
uhakiki wa vyeti
verification
vifo
vizazi
vyeti vya kuzaliwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.