1.
Lazima ifike muda tusiogope kukosoa kwa gharama za kutukanwa na wasiojua hali halisi ya nchi hii ilipo na tunapoenda. Hapa chini natoa sababu za kupinga au kutokukubaliana na hoja za Slaa na chama chake kutaja mafisadi
2.
Kuna tofauti gani ya UVCCM chairman na Dr.Slaa?
Jengea hoja hili, tofauti naiona kubwa tu mpaka utakaponishawishi vinginevyo..!
3.
So what tulipiga kelele za list of shame miaka 6 iliyopita, tulichoona ni bado wako mtaani, bado wana wafuasi (kusupport point ya kwanza), bado wana nguvu, walishinda majimbo yao bila kuchakachua.
Ahaa..kumbe..? Je suala la "kujivua gamba" si matokeo ya list ile...?
4.
Kama chadema inaaminisha umma kuwa hata mamjaji ni wachafu..maana yake ni nini? Was it necessary kuwasema sasa? Hali kwa sasa itapatikana wapi? Je Mtikila alishinda kesi ya mgombea binafsi wapi? Why generalize majaji?? Kuwa wote ni wachafu..Is this was your only wisdom? Yes ni kweli kabisa ni wachafu..my question is was it right time?
Umejichanganya sana hapa hata hujaeleweka lengo lako hasa nini?
5.
Piganieni tume huru ya uchaguzi ambayo HAMSEMI NA MKO KIMYA NA Kama uchaguzi uliopita mtaingia 2015 election na same Lewis makame na mtashtuka tu kuwa tume si huru wakati mmeshindwa!!! This is sick!!
Tume huru inapiganiwa kupitia mabadiliko ya katiba ambapo CDM imefanikiwa kuishinikiza serikali kuingia kwenye mchakato huu.
6.
Moja ya vitu walichofanikiwa CCM ni kupokonya hoja zote za CDM na kuzifanya zao.Juzi CCM wamesema wanajivua gamba, hata kama ni uongo kwa mtu wa kawaida leo HII anajua kumbe mission ya chadema na walichofanya CCM ni kile kile hawawataki mafisadi. CCM wameanza katika hili kama wiki moja tu iliyopita leo hii CDM wanasema karibu same theme ya CCM!!!! Think! Think! Think! Where is your political tactics??
CCM kudesa hoja za CDM ni mafanikio kwa CCM kwa mtazamo wako? Hilarious..!
7.
Kwa sababu society ya Tanzania inapenda umbea.majungu na habari za kusikia KWANI HAYA NDIYO FARAJA YAO KWENYE DHIKI ZAO BASI NA NYIE ILI MUONEKANE WAZURI NI KUSEMA UDAKU NA UMBEYA ILI MMPENDEKE; kusema kile kitu ambacho wengi watakifurahia-tofauti ya chadema na shigongo ni ipi??!! Lakini kesho CCM wakisema zuri kwa watu walewale wanabadilika that makes point yangu namba 5 muhimu sana kuliko chochote mnachofanya hivi sasa!
Generalization and unnecessarily offensive
8.
Kuwadanganya watu kuwa katiba inaweza kubadilishwa within the next two years is a lie and you must stop? Stick on making a new election committee!!! Acheni kudanganya watu.
Tunaomba ututhibitishie kuwa hili haliwezekani ndani ya miaka miwili kwa hoja sio kwa hisia kama unavyofanya sasa..!
9.
Alifikiri atakuwa rais maskini kaukosa, alifikiri atapendeka kila kona, maskini jamii Fulani zin mkataa! Je kuongeza idadi ya mafisadi kwenye list yako ni kuonyesha haumchukii Kikwete? ( siri hii), na ni kuonyesha your neutrality in issues?
Again hakuna hoja hapa ni personal attacks, chuki na husda..!
10.
Kama kutaja mafisaid ndio priority ya chadema is this all?? Je mmemaliza wote? Wako wapi akina Nimrod Mkono? Is he clean au kwa sababu ni mwana sheria? Je mmewataja akina Lawrance Masha>akina Ridhwan kikwete? Yuko wapi Houseboy wa Makamba na housegirls wa majumbani mwetu? Au wizi ukifanywa na watu wa chini sio wizi na ukifanywa na viongozi ndio wizi? Je viongozi wanatoka wapi? Ni lini Slaa atajua kuwa ni system ambayo ina fuga wezi na wako millions!?
Watu hawaropoki tu fulani ni fisadi, lazima ushahidi uwepo na vita hii imelenga wezi wa mali za umma sio kwa ajili ya wezi wa mifukoni au wa majumbani kwenu hilo sio jukumu la CDM kushughulikia.
11.
Je kuna tofauti gani ya kumtaja Fulani ni mwizi publicly na kumchoma moto kibaka? Kumtaja mtu hadharani kuwa mwizi sio kuchukua sheria mkononi! Mkisema majaji ni walewale,je si mna-promote watu kuchukua sheria mkononi? Mbowe atapona? Aliyekopa hela za viinua mgongo na akashindwa kurudisha.
Hapa unaonyesha upeo au uelewa mdogo wa mambo...Hivi kumtaja mtu fisadi/mwizi ni kujichukulia sheria mkononi? funny and again another personal attack to Mbowe ...ziko wapi hoja?
12.
Chadema semeni lingine move zenu bado hazija ni convince mimi, na sitawapa nchi hii mpaka nimeridhika mnafanya mambo kiakili na si kukurupuka!
Kumbe mkuu we ni "kingmaker" unaweza kuwapa nchi hii CDM ...? Hiralious
13.
Mwisho; hii ni mwisho kuwasadia kufanya siasa za nyakati, wakati na mkakati! Will not teach you again as you are cheating people again!
Daah speechless...Mkuu unatisha..!